Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

Fauza;
Ubaguzi ni sumu; Utapeli hauna kabila; utabaki na akili mgando ya ccm hata lini?? Mbona viongozi wengi tu walioko madarakani na wengi waliopita wameoa huko huko na hakuna baya lililo wasibu?? Hakuna mchaga mwenye akili timamu atakaye uona uso wako ulivyo choka akuangalie. Usiogope, miye nimeoa huko lakini wala sina wasi naye. Toto limetuliaaa kwake sijaliona janga wala jangala

Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani. Angalia yasikukute ya Ufo.
 
Wachaga ni majanga, halafu tuwape nchi? Mawee!

watanzania ndio maana tunaambiwa IQ zetu ni kidogo sana.tupo radhi kumchagua mtu anaye bahatisha kuishi kuliko mtu anaye piga bajeti ya miaka kadhaa mbele! eti kiongozi anatunia mtindo wa kutoa kodi ya meza kila asubuhi ndio tunaonan anatufaa!! ingekuwa amri yangu mtu yeyote wa mtindo wa kuishi kwa kuungaunga kama wafanyavyo hao waswahili eti asubuhi ndio anampa mke wake vifedha vya mlo wa siku ile tu wenyewe wanaita kodi ya meza, kamwe wasiruhusiwe kugombea uongozi ngazi yeyote. SI MNAONA? MISHAHARA SIKU HIZI INATOLEWA KWA KUUNGAUNGA KAMA KODI YA MEZA!! UKIENDA HAZINA HATA FEDHA YA KUENDESHEA NCHI KWA SIKU KUMI HAKUNA!! Wafanyakazi laki nne tu unawalipa kwa kuungaunga! mpaka aibu.
 
Pole sana, lakini ukweli wa wachagga nani asioujuwa?
 
Salaam wana JF,

Napenda kuwapa taarifa Watanzania wote kwamba Leo mchana kwenye mataa ya Morocco yule tapeli anayehusishwa na kulipua yard ya magari pale Mwenge Ladislus Mushi almaarufu Mushi Mapikipiki inasemekana aliingia mafichoni yeye na kundi lake,Leo mitaa ya mchana huu tukiwa pale Morocco kundi kubwa la polisi walilizunguka na kulitia nguvuni.

Kwa mtu yoyote aliyedhulumiwa nyumba,kiwanja au gari mnaweza kufika Oysterbay polisi.

Huyu tapeli ni smart sana kwenye mazungumzo,Mara nyingi anajidai anamiliki hotel kadhaa Nairobi.

Huyu jamaa walishamuuzia ndg yangu gari mpaka Leo liko polisi.

Huyu ni mtu HATARI sana kwa wasiokuwa na taarifa zake,anafanya uhalifu wake Kenya na Tanzania.

Mnapenda kitonga ndo maana mnatapeliwa, kila kitu mnataka kukwepa kufuata utaratibu ili msilipe kodi ngoja wawanyooshe mtatapeliwa hadi mtakapojielewa.
Hafu watu wengi wanaotapeliwa pesa zao huzipata kwa njia zisizo halali.
 
Jamani watu kama hawa ni hatari katika jamii tunakaa nao tutoe ushirikiano mkubwa katika vyombo husika ili hatua za kisheria zifuatwe
 
Nipeni ushauri nini bonde la mpunga heka 2 maji yanapita wakati wa msimu ila mavuno si mengi sababu ya magugu nitumie dawa gani?
 
View attachment 151741
Mrs Bolt has long business history started back in year 1986. The Chairman and founder of Mrs Bolt Holding Company Mr Ladislaus Mushi is holding the history of this Company. He started his business carrier in year 1986 when he completed his secondary school.

His first business was selling second hand clothes “mitumba” at Kikombaa market in Nairobi Kenya he did this business for one year before he moved back home to Dar es salaam where he started importing beer from Kenya. In year 1987 he opened Grocery where he was selling different drinks and at the same time operate wholesale beer store.

In year 1987 he started operating a hardware store where he was very successful. In year 1988 is when his dream came true because he was using Mrs Bolt as his business name. This year he started auto spare parts business. In year 2000 he started General wholesale shop where he was selling different items.

In year 2002 he opened another auto spare part store at Kariakoo in both stores we are selling different auto spares serving customers mostly needed spares. In year 2007 he started a new Company Japan Tanzania Enterprises Co. Ltd. This is dealing with importing and selling motorcycles from Japan.

In 2009 he started another Company Japan Auto Connections Ltd. This is dealing with importing and selling used motor vehicles. In year 2010 he started another Company Double M connection Co Ltd. This is dealing with importing and selling bicycles.

Mdau aksante nilikuwa naitafut picha yake nione kama na mimi ni muhanga au,,,mbona anaonekana no mfanyabiashara aliyeanza chini na kukua,isiwe ikawa washindani wake kibiashara wana................
 
Wachaga ni majanga, halafu tuwape nchi? Mawee!

intarahamwe, intarahamwe, yaani wewe hata hiyo papuchi yako imejaa udini na ukabila maisha ni zaidi ya dini na kabila, anaitwa Mushi sawa kama wewe mama yako aliiba na siku ukabaini baba yako ni mchaga utafanyaje tena ni mkristu kuna mwenzako hapa aliambiwa baba yake ni mchaga na ni mkristu akiwa na miaka 45 aliishiwa pozi mama yake swala tano aliyekuwa anamuamini kumbe ni binadamu aliwahi kuteleza na bado anateleza na atateleza tuvunje mipaka ya dini na kabila uchaga na upemba umekuwa issue sana.
 
natamani kujua hizi story za watu kama hawa mwanzo mwisho

ila najua vifo vyao huwa vya kotata sana hivi papaa msofe bado yuko keko

kiranga
Anakula pepo hapo sagayonsa,

story za hili gaidi tapeli,sijasikia tena, mwenye taarifa atujuze
 
Wanajanvi,salam za mchana.

Muda si mrefu leo nimeliona tena lile Gaidi maeneo ya kinondoni likiwa kwenye duka la mabaiskeli,taadhari mliyeko karibu nae, sikutegemea kuliona tena mitaani,taadhari kwa mtakaye kutana nae huyu tapeli/GaidiGaidi

kweli serikali imekumbatiwa na wahalifu nchi hii.
 
Back
Top Bottom