Muombe sana Mungu, usiingie kwenye anga za hao jamaa. Umesahau waswahili walisema "Ndege mjanja, hunaswa..."Itakuwa habari njema kwa wale waliotapeliwa....lakini kwa upande mwingine lazima niwalaumu wajinga wachache wanaoingia kwenye mitego ya watu kama hawa.Unafikiaje kutoa mamilioni ya shilingi eti kununua gari,kiwanja au nyumba bila kuthibitisha kwenye njia husika.Unanunua nyumba kwa kutumia vishoka wa mjengoni{ardhi) kwa fundi viatu pale chini?Unanunua gari uchochoroni....bongo yadizipo kila kona...na vp usiingie TRA kupata uthibitisho wa umiliki?Kweli wanasema "wajanja hawa kamwe hawataisha km wajinga ninyi mtaendelea kuwepo"!
Wachaga ni majanga, halafu tuwape nchi? Mawee!
Kitu ya kibosho hiyo weka mbali na watoto
Ndg yangu Nguvumoja km unapeda dili za mdondo utaingia kwenye reli zao tu.Mtu anakwambia kuna nyumba mil 20 masaki na ww ukatoa hela km sio zuzu ni nn?20 hta kwa mtogole hupati kibanda....Narudia tena "wajanja hawa kamwe hawataisha km mazuzu nyie bado mpo"!Muombe sana Mungu, usiingie kwenye anga za hao jamaa. Umesahau waswahili walisema "Ndege mjanja, hunaswa..."
Haya Kazi ni kwako.
Wachaga ni majanga, halafu tuwape nchi? Mawee!
Mhalifu ni mhalifu tu...hakuna cha kabila! Hata katika kabila lako wako wezi na majambazi pia.
Mbona kabila lako linaongoza kwa USHOGA je nyie ndio mpewe Nchi?
Sikatai uyasemayo lakini kumbuka, kila kabila lina sifa zake, wahaya wana yao, wasukuma wana yao, wachaga yao wizi, ujambazi na utapeli.
Wachaga ni majanga, halafu tuwape nchi? Mawee!
Kauli yako hii sio nzuri kabisa dada,
Unaheshimika sana humu jf,kutoa kauli ya kibaguzi kama hizi una kosea.
Ndipo upeo wa akili yake ulipoishia!nilikuona huku unatangaza biashara ya magar bro jitahd uwe smart au serious bac kuchangia hapa mipasho kama hii unatukatisha tamaa wale tuliokuwa tunaanza kushawishka na matangazo yako. epuka kuongea sana bana.
Mimi nafikiri majanga ni wewe ambaye akili zako zimekaa kima.vi ma.vi ambaye tangu ujiunge jf ni pumba kwa kwenda mbele....na hapo najua unamlenga mtu mmoja lakini kwa uhayawani wako ukaamua kututukana wachaga wote....useless good for nothing faizafoxy!
Unachokikataa ni nini na sifa za wachaga zinajulikana? mchaga kama hajaiba siku moja anajiibia hata mwenyewe.
Unachokikataa ni nini na sifa za wachaga zinajulikana? mchaga kama hajaiba siku moja anajiibia hata mwenyewe.