Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
We si kafiri tu na pombe zko subiria adhabu ya m, mungu kama utakufa na imani ya kikafiri uliyonayo

Join Date : 2nd May 2014
Posts : 5

Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
Kaa kwanza uzoee humu ndo uje na shudu zako hizi...Vipi pombe hupendi kumbe?Na baada ya hapo unapita juu ya barabara zilizojengwa kwa kodi ya TBL kwa raha zako!!Kweli kwa akili hii ni halali hata ukijiua ili upate mabikira 72
 
Alikua mdini sana, alichukia sana wakristu. alisema waislamu wawaue maaskofu na mapadri, sijui yeye aliua wangapi.
 
Swali langu kwa Muslim. Kwanini huyo ALLAH anaeagiza mchukie kafir, muue kafir bado anaendelea kuumba makafir kila kukicha hadi leo. Hamuoni kama anawaongezea matatizo? anawaongezea kazi ya kuua?. Mimi nadhani adui yenu ni ALLAH anaeumba makafir, au mnasemaje?
 
...Qur'an 2:157. Hao juu yao zitakuwa baraka zitokazo kwa Mola wao Mlezi na rehema. Nao ndio wenye kuongoka
Kwa kuwa (inasemekana) kati ya vitu watakavyopewa walioyatoa maisha yao kuisimamisha dini ya Mwenyezi Mungu kama akina Sheikh Ilunga ni mabikra 72 wakila nao raha mchana kutwa usiku kucha, hebu tupe ilmu:-

(i) Je, ni kweli kwamba suala la mabikra 72 ni dhana tu au ni uhalisia?
(ii) Kama ni uhalisia, wanawake kama wewe mtakapokufa thwawabu yao nini? Maana wanaume hupewa mabikra, mahajjat nao je?

RIP Ilunga.
 
Innalillah wainna ilayh raajiuun. Huu ni msiba mzito kwetu waislam
 
Swali langu kwa Muslim. Kwanini huyo ALLAH anaeagiza mchukie kafir, muue kafir bado anaendelea kuumba makafir kila kukicha hadi leo. Hamuoni kama anawaongezea matatizo? anawaongezea kazi ya kuua?. Mimi nadhani adui yenu ni ALLAH anaeumba makafir, au mnasemaje?

hahaaaa swali gumu hilo wqtqlijibuje na allah kila kukicha anawaongezq makafriiiii, inferiority complex inawaangaisha.
 
Niko msibani hapa Mbezi Goigi ambako mwili wa marehemu Ustadh Ilunga Hassan Kapungu umelala. Kitu kizuri ni kuwa hakuna alietetereka kwa msiba huu kwani kila mmoja wetu anajua kila nafsi itaonja mauti na huu ni muda wa Ustadh Ilunga. Kizuri kingine ni kuwa amefariki kwa ugonjwa ambao ulimuanza zaidi ya miaka kumi na tani iliyopita, kabla hata ya umaarufu wake, kabla hata ya propaganda zidi yake kuenezwa. Watu wamehamasika kwa kazi yake aliyoifanya hapa dunia na wako tayari kuiendeleza. Ustadh Ilunga amefariki na atazikwa leo saa kumi jioni lakini kazi yake katika uislamu itadumu milele.

Kwa hiyo kumbe alikuwa anafanya uchochezi wake wote ule akijua muda si mrefu atakufa kwa ugonjwa huu unaousema hapa?Basi kwa stahili hili hiyo peponi ataisikia tu naamini lile bomu la Arusha lina mkono wake
 
Swali langu kwa Muslim. Kwanini huyo ALLAH anaeagiza mchukie kafir, muue kafir bado anaendelea kuumba makafir kila kukicha hadi leo. Hamuoni kama anawaongezea matatizo? anawaongezea kazi ya kuua?. Mimi nadhani adui yenu ni ALLAH anaeumba makafir, au mnasemaje?

Swali gumu na muhimu haya ngoja tusubiri majibu toka kwa wafuasi wa allah ingawa niwajuavyo mimi watauliza swali kabla ya kutoa jibu.
 
Swali langu kwa Muslim. Kwanini huyo ALLAH anaeagiza mchukie kafir, muue kafir bado anaendelea kuumba makafir kila kukicha hadi leo. Hamuoni kama anawaongezea matatizo? anawaongezea kazi ya kuua?. Mimi nadhani adui yenu ni ALLAH anaeumba makafir, au mnasemaje?

Alichokipata ndio matokeo yamahubiri yake. Vp nayule mwingine mwenye matatizo kule mahakaman hali yake?
 
Kwa kuwa (inasemekana) kati ya vitu watakavyopewa walioyatoa maisha yao kuisimamisha dini ya Mwenyezi Mungu kama akina Sheikh Ilunga ni mabikra 72 wakila nao raha mchana kutwa usiku kucha, hebu tupe ilmu:-

(i) Je, ni kweli kwamba suala la mabikra 72 ni dhana tu au ni uhalisia?
(ii) Kama ni uhalisia, wanawake kama wewe mtakapokufa thwawabu yao nini? Maana wanaume hupewa mabikra, mahajjat nao je?

RIP Ilunga.

Kwanin hao mabikra asipewe hapa hapa duniani mpaka aende huko akhera?
 
Huyu mtu alikuwa anahubiri wenzake wauawe kama vile kawaumba yeye, alitaka makafir wauawe ili wabaki viumbe wenye haki mbele ya Mungu. Hii dini inafurahisha, Mungu anaumba kafir, lakini Mungu huyohuyo anaagiza kafir auawe. Tangu aagize mapadre kuuawa hajawahi kuwa na raha, muda wote kuugua tu mpaka amekufa.
Kweli mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom