Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee Ilunga

Ktk waikristo wenye Imani we mmoja wao. Big up
 
We kweli mwehu,,ingekuwa hivyo si mngefunga kwa Waislam wote maana Makafir kumpenda Muislam ni ngumu yaan mnatamani Dunia hii make wenyewe tu.
Mkuu, Ilunga kashapiga bao mabikira sita hadi sasa, inategemewa waliobaki atawamaliza leo kabla ya saa sita usiku
 
maombi ya kufunga "kula 7" mfululizo, yamejibu.maombi ndio silaha yetu kubwa wakristo.

Hivi huu mstari uwa una maana gani katika biblia?

"Mpende adui yako" maana kama unafunga kula kwa kumuombea kifo (au jambo lolote baya) adui, then sijui huo ni uikristo gani!
 
Eeh! Kwa hiyo hata kifo cha nyerere mlifunga siku 7 mfululizo!
 
Hivi huu mstari uwa una maana gani katika biblia?

"Mpende adui yako" maana kama unafunga kula kwa kumuombea kifo (au jambo lolote baya) adui, then sijui huo ni uikristo gani!

Unatakiwa uwe na akili nyingi sana unapotafsiri mistari ya kwenye Baibo, ukiisoma kwa akili za madrassa utafeli. Sasa kwa tafsiri yako hiyo inamaana hata Shetani nae tumpende maana ni adui yetu namba moja!
 
Ni yule wa mwanza nadhani?

Habari nilizozipata punde ni kwamba ustadh Ilunga Hassan kapungu muasisi wa maneno mfumo kristo Tanzania amefariki dunia kwa ugonjwa wa kisukari na baadae figo zake kushindwa kufanya kazi.Ustadh Ilunga atazikwa Leo.

Innalilahi waina Ilaihi Rajiuun.
 
Good Riddance!

Someone should have shot that imbecile in a cold blood...too bad he died such a death!

Utakufa kwa chuki zako bure wakati huwezi hata kudhuru mdudu chungu. Hayatufiki wanadamu ispokuwa aliyotukadiria mola wetu.
 
namini m/zimungu yupo pamoja nae na kumkaribisha katika pepo na kumfungulia milango yota 7 ya pepo ammmina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom