Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,179
- 37,475
Mkuu Kakende wacha kutania dini za watu sidhani kuna kitu cha jinsi hii katika quran tukufu sasa wanawake wana watapewa nini ?.
Soma hizi aya zinaelezea wasifu wa mabikra, zinasema wana macho mazuri Al-Quran 44:54
Quaran 78:33. Idadi kamili ya mabikra inapatikana hapa. hadith 2687
Last edited by a moderator: