Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Habari nilizozipata punde ni kwamba ustadh Ilunga Hassan kapungu muasisi wa maneno mfumo kristo Tanzania amefariki dunia kwa ugonjwa wa kisukari na baadae figo zake kushindwa kufanya kazi.Ustadh Ilunga atazikwa Leo.

Innalilahi waina Ilaihi Rajiuun.
pole zao wote wanaomtegemea..
 
huu ndio ushahidi wa yale aliyokuwa akiyasema
 
Last edited by a moderator:
Innalillah wainna ilaih raajiuun...May Almight reward him accordingly to what he did for the sake of Islam and muslims insha Allah..May Allah offe him forgivenes for his wrong deeds.amee ya rabbil-alameen.
 
Kifo ni njia yote sote hata wewe pia jiandae Ponda anaweza kukuta wewe umeishakufa au mimi usishangilie kifo kisa una chuki na Uislam.

Nachuki na wale wanaohubiri vita kati ya wanaadamu and YES namchukia Ilunga na Ponda sana tu...
 
Niko msibani hapa Mbezi Goigi ambako mwili wa marehemu Ustadh Ilunga Hassan Kapungu umelala. Kitu kizuri ni kuwa hakuna alietetereka kwa msiba huu kwani kila mmoja wetu anajua kila nafsi itaonja mauti na huu ni muda wa Ustadh Ilunga. Kizuri kingine ni kuwa amefariki kwa ugonjwa ambao ulimuanza zaidi ya miaka kumi na tani iliyopita, kabla hata ya umaarufu wake, kabla hata ya propaganda zidi yake kuenezwa. Watu wamehamasika kwa kazi yake aliyoifanya hapa dunia na wako tayari kuiendeleza. Ustadh Ilunga amefariki na atazikwa leo saa kumi jioni lakini kazi yake katika uislamu itadumu milele.
 
Habari nilizozipata punde ni kwamba ustadh Ilunga Hassan kapungu muasisi wa maneno mfumo kristo Tanzania amefariki dunia kwa ugonjwa wa kisukari na baadae figo zake kushindwa kufanya kazi.Ustadh Ilunga atazikwa Leo.

Innalilahi waina Ilaihi Rajiuun.

Ndo ataona sasa kama Mungu wa Wakristo yupo au kuna majini? Nina imani sasa hivi ansikilizia.
 
Hakika sote ni wa allah na tutarudi kwake.
Mungu amlaze pema peponi.
 
Niko msibani hapa Mbezi Goigi ambako mwili wa marehemu Ustadh Ilunga Hassan Kapungu umelala. Kitu kizuri ni kuwa hakuna alietetereka kwa msiba huu kwani kila mmoja wetu anajua kila nafsi itaonja mauti na huu ni muda wa Ustadh Ilunga. Kizuri kingine ni kuwa amefariki kwa ugonjwa ambao ulimuanza zaidi ya miaka kumi na tani iliyopita, kabla hata ya umaarufu wake, kabla hata ya propaganda zidi yake kuenezwa. Watu wamehamasika kwa kazi yake aliyoifanya hapa dunia na wako tayari kuiendeleza. Ustadh Ilunga amefariki na atazikwa leo saa kumi jioni lakini kazi yake katika uislamu itadumu milele.

ni kweli kazi yake katika uislamu itadumu milele kuhubiri chuki na mauwaji, nakubaliana na wewe kabisa.
 
Kwa comments za watu humu inaonekana huyu bwana alijijengea maadui wengi sana...

Hata hivyo mwanadamu(pasipo kujali rangi, imani n.k) yu mavumbi yeye na mavumbini atarejea...
 
umefanya kazi kubwa sana ilunga kuwazindua waislamu juu ya mfumo kristo katika Tanzania na sasa naona haki inatekelezwa. Inshallah mwezimungu akulipe mema na akupe fildaus.
 
Kifo ni njia yote sote hata wewe pia jiandae Ponda anaweza kukuta wewe umeishakufa au mimi usishangilie kifo kisa una chuki na Uislam.

Ni kweli, kuna watu wengine hutumia kifo kama njia ya kupatia umaarufu katika madaraka ya kidini au kisiasa.

Najaribu kukumbuka kuwa Ayatolla Ruhollah Khomeini alitoa fatwa kuwa Salman Rushdie auwawe, na hiyo ilikuwa ni mwaka 1989. Hata hivyo mwaka mmoja tu vaada ya fatwa hiyo, yaani mwaka 1989, Ruhollah Khomeini akafarikia wakati leo ni miaka takribani 30 imepita na bado Rushdie yuko hai.

Hatujui kwanini Mwenezi Mungu analinda uhai wa Ruishdiea hapa duniani na aliamua kuchukua uhai wa Ayatola miaka hiyo. Domo kubwa hata ni kuwa hakuna binadamu anayeweza kutoa amri halali ya kumaliza uhai wa binadamu wengine.
 
Sisi sote ni marehemu watalajiwa acha kujidanganya.

Yaani nifanane na Sheikh Irunga, yule mchuma janga akawaachia wenzake? Hapana , labda mimi naweza fanana na wewe Ritz
 
Last edited by a moderator:
1: Dawa ya kafiri ni bunduki.
2: Akiuawa shehe,tafuteni vi askofu na vi padri viwili vitatu mviue.
3: Kafiri si wa hadh sawa na muislamu.
Akafie mbali mchochezi mkubwa.
 
1: Dawa ya kafiri ni bunduki.
2: Akiuawa shehe,tafuteni vi askofu na vi padri viwili vitatu mviue.
3: Kafiri si wa hadh sawa na muislamu.
Akafie mbali mchochezi mkubwa.

duuh hatariii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom