Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Pumzika kwa Amani Ilunga
usiniambie humjui ilunga wala hujawahi kumsiki
ngoja nisisema chochote kuhusu huyu mtu, naweza jikuta rumande bure
R.I.H.shekh ilunga msalimie rogo na lusifa mjomba enu mwambie dunia ni salama bila uwepo wanuHuyu MPINGA KRISTO sehemu yake ni kwenye ziwa liwakalo moto wa milele
Upuuzi wako huu wa kujifanya ni mfia dini ndiyo maana hata kuandika unashindwa.
"Kuludi" ndiyo kitu gani? Nendeni shule la sivyo mtalalamika mnaonewa hadi mwisho wa dunia.
Kwa kuwa (inasemekana) kati ya vitu watakavyopewa walioyatoa maisha yao kuisimamisha dini ya Mwenyezi Mungu kama akina Sheikh Ilunga ni mabikra 72 wakila nao raha mchana kutwa usiku kucha, hebu tupe ilmu:-
(i) Je, ni kweli kwamba suala la mabikra 72 ni dhana tu au ni uhalisia?
(ii) Kama ni uhalisia, wanawake kama wewe mtakapokufa thwawabu yao nini? Maana wanaume hupewa mabikra, mahajjat nao je?
RIP Ilunga.
Mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee Ilunga
Duh,
Hizi deal mbona huwa mnaniachia mimi tu?