Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Raha ya milele umpe eeh Yesu na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani. AMEN!

Maombi mazuri sana haya, lakini yamechelewa, ungemwombwea kabla ajafa ungekuwa umefanya la maana sana,

Niombee mimi maombi haya kabla sijafa tafathali, usiache kuniombea maombi haya!.
 
Sitegemei viongozi wa serikali kwenda kumzika, kwani bado alikua anatafutwa.

Viongozi wa serikali ndo akina nani mbele ya allah subhana watahallah sisi waislam wenzie tutamzika na isitoshe mwanadamu anapofariki hajalishi anazikwa na nani, ila mbele ya allah anatizama matendo yako tu, mali nyazifa zote unaacha juu ya aridhi kwa maana hiyo hapo viongozi wako awana nafasi kwenye kumzika mtu.
 
Mungu kamuondosha yeye sasa.

Bila shaka sasa hivi yupo na mabikira wake 72 anajilia vyake. Wajinga ndiyo waliwao.

Wewe utaishi milele? Tena bola yeye kaondoka huku akituasa waislam tujitolee kuupigania uislam wetu kwa hali na mali kuliko ww utaondoka juu ya dunia hii kuludi kwa mola wako bila ya amali yoyote"
 
Wewe utaishi milele? Tena bola yeye kaondoka huku akituasa waislam tujitolee kuupigania uislam wetu kwa hali na mali kuliko ww utaondoka juu ya dunia hii kuludi kwa mola wako bila ya amali yoyote"

Upuuzi wako huu wa kujifanya ni mfia dini ndiyo maana hata kuandika unashindwa.

"Kuludi" ndiyo kitu gani? Nendeni shule la sivyo mtalalamika mnaonewa hadi mwisho wa dunia.
 
Mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee Ilunga

Ah kumbe wewe ni mfuatiliaji mzuri, ni kweli ndio yeye. Jamaa alikua mwanaharakati muhimu sana ktk uislam ila huo muadhara kwa kweli ulikua mwiba sana ingawa alikua akirejea maneno ya Quran. R.I.P Shekhe.
 
Inna lillah waina ilayh rajiun. Cleric leader was leading in teaching Islamic fundamentalism na kuchochea fujo, kufitinisha watu kama Baraba. May you rest in pieces where you deserve.
 
Huyu mtu alikuwa anahubiri wenzake wauawe kama vile kawaumba yeye, alitaka makafir wauawe ili wabaki viumbe wenye haki mbele ya Mungu. Hii dini inafurahisha, Mungu anaumba kafir, lakini Mungu huyohuyo anaagiza kafir auawe. Tangu aagize mapadre kuuawa hajawahi kuwa na raha, muda wote kuugua tu mpaka amekufa.
 
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake yeye ndiyo marejeo yetu!
 
Huyu mtu alikuwa anahubiri wenzake wauawe kama vile kawaumba yeye, alitaka makafir wauawe ili wabaki viumbe wenye haki mbele ya Mungu. Hii dini inafurahisha, Mungu anaumba kafir, lakini Mungu huyohuyo anaagiza kafir auawe. Tangu aagize mapadre kuuawa hajawahi kuwa na raha, muda wote kuugua tu mpaka amekufa.

wenyewe wanamuita ALLAH
 
Namuomba mungu amuweke mahala pema peponi lakini ndugu jaribuni kuangalia hiyo linki hapo juu!!
 
Last edited by a moderator:
hakika sisi ni wa mwenyezimungu na kwake tutarejea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom