Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Inna lillah wainna ilayh rajiuin
Au Ramadhan Ighondu kafanya mambo?
Mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee Ilunga
Acha upunguani wewe.

Ukiishi kwa chuki utakufa kwa chuki
Chuki ipi kwani wewe utakaa milele??