Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Namna pekee ya kujikomboa kwenye dunia ya leo ni kushikilia elimu dunia.
Umemaliza!? Huna unalolijua ww
Namna pekee ya kujikomboa kwenye dunia ya leo ni kushikilia elimu dunia.
Jerry umeshakiri humjui huyu bwana,iache historia iwekwe sawa. Kuna ya kujifunza kwa watu wote,wa imani zote kupitia kupitia kifo na aliyoyahubiri huyu bwana.
Ni yupi huyu, tafadhali picha kama iko maana wengine hatumfaham! Poleni sana wafiwa, Mungu awatie nguvu
Umemaliza!? Huna unalolijua ww
Usiniambie humjui Ilunga wala hujawahi kumsiki
Ngoja nisisema chochote kuhusu huyu mtu, naweza jikuta rumande bure
Kama anaistahili Pepo aende
Na mimi nampa wangu siwahitaji
Mkuu, hii sio league nimeshasema basi av conceded my dear, just take it easy
We si kafiri tu na pombe zko subiria adhabu ya m, mungu kama utakufa na imani ya kikafiri uliyonayo
Wewe unayemshabikia mtu anayehubiri binadamu wauane ndo unalo unalolijua.
Tena haswaa namuunga mkono shekhe Ilunga hassan kapungu alikuwa sahihi kabisa.