Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
machozi yamoyon yote yamalizikaaa mie nitalala na naniiii we unaendaa unaendaaa.....leo pakanamawazooo wouuu uuu......!! hatari sana huyu babu. rip though!!
Miaka 66 anatafuta nini stejini?
Sidhani kama ana mawazo ya aina hiyoKoffi atakuwa anachekea moyoni,maana adui yake mkuu katangulia
Hapo katika kidekude umechanganya madude, Yule alikua Marehemu King caster emeneya.R. I. Paradise mzee wa Kidekude
Papa ana heshima kubwa ndani ya DRC, maana ameibua vipaji vingi vya muziki.Huyu jamaa alikuwa na nyota ya kupendwa but sijaona nyimbo nzuri kutoka kwake
Hakuwazidi akina jb mpiana, koffi akina werra son etc
Pia yasemekana aliwahi kumuoa mama yake koffi antoi charles olomide.
Huamini kama kuna maisha baada ya kifo?LALA SALAMA PAPA!
Hasa ibadaR.I.P Papa Wemba...
Ni njia nzuri kufa ukifanya kitu unachokipenda.
#Legend.
R i pNaupends sana huo wimbo