RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Alikuwa yupo nchini humo kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA)
Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 66.
==========================
Habari nilizopata hivi punde kupitia mitandao ya kijamii na page ya Instagram ya Papa Wemba ni kwamba Msanii nguli Papa Wemba amefariki dunia leo. Chanzo cha kifo ni kuwa alidondoka jukwanii wakati wa onyesho la Magic System Ivory Coast.
Apumzike kwa Amani.