misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,585
- 14,167
Anayebisha clip imewekwa...asante kwa clip
RIP mzee mzima. Sitakusahau kwa ukarimu wako na kupenda waafrika na hii inadhihirika pale uliponilipia kahawa katika kijiwe cha dada wa kihabeshi uwanja wa ndege Adis ababa.umeacha legacy sio tu ktk kuenzi muziki wa kiafrika Bali umoja na upendo baina yetu. Umetangulia nasi nyuma yako. Mungu akupumzishe kwa amani Amen.View attachment 342043 Muimbaji huyo maarufu amefariki akiwa Abidjan, Ivory Coast.
Alikuwa yupo nchini humo kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA)
Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 66.
Naupends sana huo wimboNaukumbuka saana wimbo Wa show me the way....
R.I.p