TANZIA: Mwanamuziki Papa Wemba afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki Papa Wemba afariki dunia

Baada ya kufa ni hukumu. Kule uendako matendo yako hukufuata. So ni vyema kuishi kwa nidhamu kwenye hii Dunia ya Mola. Dunia ya Mola siyo ya kwenda nayo kwa mapepe ooh! Apumzike maali kule ambapo Bwana atapenda kumuweka...
 
R.I.P papa wemba napendaga wimbo wake unaoitwa ' WERO' kama sijakosea.
 
Hata mimi nitamkumbuka kwa wimbo wake wa ''Wero''. Alikua ni msanii mkubwa siyo Congo tu, bali Afrika na duniani kwa ujumla. Apumzike kwa amani.
 
Duhh mzee kafia kazini akiongeza hela. Tutakukumbuka mzee papa wemba pole familia
 
Aisee wenye nyimbo zake watuwekee humu

RIP Papa Wemba
 
Kuna wimbo wake naupenda anaimba ayee africa oooh africa ooh sijui nn

Yan almost napenda nyimbo zake zote
 
Back
Top Bottom