TANZIA: Mwanamuziki Papa Wemba afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki Papa Wemba afariki dunia

Why are u so mad [emoji12] dont panic
117bf788493be8aa30960236899eaa00.jpg
Sasa anahusikaje hapa kwenye huu Uzi acheni kuwa mtumwa badala tumwombee mzee Wemba to rest in peace we umekazania diamond huo utumwa wa fikra[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
R.i.p tangu juzi naskiliza nyimbo ya huyu mtu,"Rail on" aisee daaah.
"Machozi yangu yote namalizika
Mie nitalala na nani
We unaenda
Mie mpaka ni mawazoo ooh ooh
mie mpaka ni kuwazawaza
we unaenda
unaenda
kama ile njia yako enda
kama ni maisha yako fuata
wee dada
rail on
rail on, rail on, rail on,
think thats the way...."
Naupenda huu wimbo kuliko maelezo. Rest in Peace Papa Wemba!!
 
Yaani watu mnaboa na huyo domo mnamuona kama mungu wenu na sehemu ambazo hausiki mtamuweka tu[emoji57] [emoji57]
Asante...
Haya majitu yanachefua,kila kitu domo domo.
Na wale waliokuwa nae ukumbini wakati anadondoka wasemeje?
 
"Machozi yangu yote namalizika
Mie nitalala na nani
We unaenda
Mie mpaka ni mawazoo ooh ooh
mie mpaka ni kuwazawaza
we unaenda
unaenda
kama ile njia yako enda
kama ni maisha yako fuata
wee dada
rail on
rail on, rail on, rail on,
think thats the way...."
Naupenda huu wimbo kuliko maelezo. Rest in Peace Papa Wemba!!
Mimi napenda Show Me.....
Hebu nitupiemo mistari yake kidogo mkuu.
Asante
 
Asante...
Haya majitu yanachefua,kila kitu domo domo.
Na wale waliokuwa nae ukumbini wakati anadondoka wasemeje?
Yaani huu Uzi ni wa kumuombea mzee wemba apumzike kwa amani yeye analeta habari za domo mfyuu
 
Mimi napenda Show Me.....
Hebu nitupiemo mistari yake kidogo mkuu.
Asante
1. Ngaï na bugui nzéla
Po' bo tikaki ngaï mosika
Yango na komaki sé mitélengano
Koko lakisa ngaï nzéla

2. Ndégué nini ngaï, baninga
Na ko bunga nzéla ya bomoï
Bato ya mokili mabé
Ba Boyi ngaï na zua lobiko
Choeurs : Take me by the hand ... Show me the way, I can go.

Daah! Halafu hapo pa "Take me by the hand", sikijua kama ni kiingereza!!🙁
 
Kumbe simaro karudi kuendeleza jahazi hapo safi sana kuna wakati alikaa pembeni nadhani kulikuwa hakuna maelewano ahsante kwa taarifa.

Simaro toka waanzishe Bana OK hajakaa pembeni. Maelwano yaliharibika kati yake na familia ya Franco wakiwa OK Jazz. Hapo ndipo Familia ilipomsimamisha bendi nzima kwa heshima na imani waliokuwa nayo kwa Simaro wakazira na kuanzisha Bana OK 1994 (nadhani) na wengine wakaja na OK International na Madilu akaenda solo.
 
"Machozi yangu yote namalizika
Mie nitalala na nani
We unaenda
Mie mpaka ni mawazoo ooh ooh
mie mpaka ni kuwazawaza
we unaenda
unaenda
kama ile njia yako enda
kama ni maisha yako fuata
wee dada
rail on
rail on, rail on, rail on,
think thats the way...."
Naupenda huu wimbo kuliko maelezo. Rest in Peace Papa Wemba!!
MERCIFUL upo fit aisee kumbe mnazikumbuka hizi?
 
View attachment 342043 Muimbaji huyo maarufu amefariki akiwa Abidjan, Ivory Coast.

Alikuwa yupo nchini humo kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA)

Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake.

Amefariki akiwa na umri wa miaka 66.
APUMZIKE MAHALI ATAKAPOPANGIWA NA MUUMBA WAKE
 
1. Ngaï na bugui nzéla
Po' bo tikaki ngaï mosika
Yango na komaki sé mitélengano
Koko lakisa ngaï nzéla

2. Ndégué nini ngaï, baninga
Na ko bunga nzéla ya bomoï
Bato ya mokili mabé
Ba Boyi ngaï na zua lobiko
Choeurs : Take me by the hand ... Show me the way, I can go.

Daah! Halafu hapo pa "Take me by the hand", sikijua kama ni kiingereza!!🙁
Asante,mimi najua hapo kwa kiingereza tu.
Kwingine naumauma maneno! [emoji12] [emoji12]
Halafu hapo pa "Take me by the hand.....nilikuwa naimba 'tukubalie'"
Uwiiiiiiiii
 
Simaro toka waanzishe Bana OK hajakaa pembeni. Maelwano yaliharibika kati yake na familia ya Franco wakiwa OK Jazz. Hapo ndipo Familia ilipomsimamisha bendi nzima kwa heshima na imani waliokuwa nayo kwa Simaro wakazira na kuanzisha Bana OK 1994 (nadhani) na wengine wakaja na OK International na Madilu akaenda solo.
Shukran kunijuza hilo.
 
Asante,mimi najua hapo kwa kiingereza tu.
Kwingine naumauma maneno! [emoji12] [emoji12]
Halafu hapo pa "Take me by the hand.....nilikuwa naimba 'tukubalie'"
Uwiiiiiiiii
ha ha ha. Nimecheka hadi machozi! Hukuwa peke yako shostiii, mie nilikuwa naimba "TIKIBADIEEE": Bora wewe "tukubalie" ni kiswahili, hio yangu sijui hata ni lugha gani walahi!
 
Sasa anahusikaje hapa kwenye huu Uzi acheni kuwa mtumwa badala tumwombee mzee Wemba to rest in peace we umekazania diamond huo utumwa wa fikra[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Papa wemba alimshirikisha diamond katika wimbo wake ndo maana tumemuongelea mond pia
 
Asante...
Haya majitu yanachefua,kila kitu domo domo.
Na wale waliokuwa nae ukumbini wakati anadondoka wasemeje?
Tulikuwa tunangojea collabo yao itoke sema papa wemba ft diamond ila ndo ivyo ametangulia mbele za haki
 
Back
Top Bottom