Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
RIP Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba
Ngoja nijiburudishe na kibao cha Blandina kukumbuka enzi za uhai
Ngoja nijiburudishe na kibao cha Blandina kukumbuka enzi za uhai
Aliyesema hvyo ni Samba mapangalaDunia tunapita eee, milima itabakiaa wajivunia niniiiii? ITABI MILELEEE NI MILIMA! ulisema hilo R.I.P
Hizi nyimbo hata mimi huwa hazinipiti. RIP PW!Daah pumzika kwa amani papa wembaa ila umeniachia nyimbo tamuu mbili hua sichoki kusikilizaa
1) show me the way
2) yolele..