TANZIA: Mtambuzi Apata Msiba

Mkuu Mwita Maranya... asante sana kwa taarifa hizi.

Pole sana Mkuu Mtambuzi, msiba ni msiba, na mama mkwe ni mama!.
Naupokea msiba wako nikijifikiria situation ya mimi nilivyo kwa wakwe zangu, inawezekana macho yote ni kwako!.

Naomba tuwekee number ya M-Pesa ili wale watakaoguswa na pole zaidi ya hii ya keyboard, tukupe!.

Pasco.​
 
Pole sana Mtambuzi, Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana mkuu, msiba huu umenikumbusha mama mkwe huyo alipolazwa Mhimbili na mkuu Mtambuzi na familia yake kulalamimika mgonjwa wao kufanywa darasa bila ridhaa yao wala mgonjwa mwenyewe.

Poleni sana, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awape nguvu katika kufanikisha kumhifazi mama yetu kwenye nyumba yake ya milele.
 
Poleni sana Mtambuzi na wafiwa wote. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema.
 
Pole sana Mtambuzi, MUNGU akupe nguvu wakati huu mgumu wa kuondokewa na mzaa chema wako.
 
Last edited by a moderator:
RIP mama, poleni sana wafiwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jana tu aliibuka na bandiko la mambo ya allergy, anyway pole Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
pole sana Mtambuzi

raha ya milele apewe mama....na mwanga wa milele umuangazie....apumzike kwa amani...amina
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Pasco nimekupata shemeji.

Kwa wale ambao wangependa kuuungana na familia ya mzee Mtambuzi katika msiba huu kwa njia ya rambirambi, tafadhali tumieni namba zifuatazo; Tigo-Pesa 0715 729292 na M-Pesa 0752 729292.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…