TANZIA Tanzia: Mbunge wa Viti Maalumu, Martha Umbulla(CCM) afariki dunia

RIP Mbunge, hapa duniani sisi ni wapita njia tu, ni sisi tuliobaki kujikumbusha kuishi kwa kutenda haki kama sisi tunavyotaka tupatiwe hiyo haki - ili siku ya mwisho tuhesabiwe haki - Kila nafsi itaonja mauti
 
Shida ni kuwa umepitaje? kwa kuua wenzako/wananchi/wapinzani wako? hili ndilo la msingi
 
Ataulizwa uliwafanyia nini watanzania atajibu nilikuwa naitikia ndiooo hata kama sikuelewa muswada wenyewe
 
HUYU MBUNGE ALISHAWAHI KUONGEA MCHANGO GANI BUNGENI NANI ANA VIDEO ...RIP
AU NDIO WALE MAMA MARIA ANAASEMA ; "....wanasombwa kuongeza idadi ya vichwa"
 
Back
Top Bottom