PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,787
Unashangaa kwasababu hamsomi vizuri threads za watu!pole sana kaka kwa kufikwa na hayo mazito. Mungu akutie nguvu, ila kaka kwa tamaduni zetu za africa kidogo nashangaa uko online unafanya nini muda huu mtu uliyefiwa na mzazi. kwangu mimi naona ajabu.
Jamaa kasema asubuhi hii yuko safarini kwenda Mkoa, kwahiyo asiperuzi hata JF, hata kama anasafiri kwa masaa 8 jamani?...mbona kwenu uchagani kwenye msiba zinashushwa kreti 50 za bia na watu wanatamani msiba usiishe!
Acheni mambo ya ajabu!