TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

Hao siyo wanasiasa .Mwanasiasa yeyote hawezi kuleta siasa kwenye msiba wa mwenzio kwa sababu anajua yeye hatofanya siasa kama hana mpinzani wake wa siasa
Kumuongelea MTU kifo si sawa tu na kuongelea kifo.Malipo hapahapa duniani
 
Leo ndio leo...tarehe 8 Desemba 2016...SIKU YA JOHN KUONEKANA...

Leo asipoonekana ninyi [HASHTAG]#NYUMBU[/HASHTAG] wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro tunaomba msitupe usumbufu, mjipeleke wenyewe kwa Nyampara wa KISONGO...

Tunajua mtajaribu kupika nyaraka za kuonyesha kwamba John alihamishwa kihalali na kisha akafa....tehetehee, msilojua ni kwamba, PM hakukurupuka, anao UZI MZIMA wa jinsi John mlivyomuuza na anajua pia alipo...

LAZIMA MTUMBULIWE.....ili mkaongeze idadi ya nyumbu wanaomlaumu JPM.

TUMECHOKA NA SINEMA ZENU.....

#AWAMU_YA_5!!
 
Huyu jamaa ni ndugu yangu na hivi ninavyoongea mwili bado haujafika Kasulu.

Inavyosemakana (bado hatujathibitisha wanandugu mapaka tuuone mwili wake ndio tutalithibitisha hilo) amejichoma visu mwilini kwa lengo la kujitoa uhai kwa sababu maisha ni magumu kwa upande wake.
Hizi habari za kujidhuru kwa kisu zimetolewa na mwanamke aliyekuwa akiishi naye huko Uganda.

Mara kwa mara alikuwa anapiga simu kwa kaka yake anaitwa Majaliwa Andrea Kalihose akimlalamikia kuwa maisha yamempiga sana kiasi anakosa hata namna ya kusonga mbele.
Pia kuna kipindi alikoswa koswa kuuawa na watu wasiojulikana baada ya kumkimbiza muda mrefu alinusurika baada ya kuingia kwenye vichaka.

Kabla ya hapo alikuwa ni mfanyakazi wa serikalini ila alivyoingia bwana Pombe madarakani alimtumbua huyu bwana kwa ubadhirifu katika ofisi yao. Baada ya hapo akaenda Uganda kutafuta maisha kwa njia nyingine.

Nikipata muda nitawapa update kwa jinsi tutakavyoupokea mwili wake.
Duh Poleni kwa Msiba ila Mkuu umemuanika vibaya nduguyo... Yaani kumbe alikuwa jipu na alitumbuliwa tayari na Magu duh! haya tupe na Nick name yake humu JF
 
Enyi Wazungu, WAMAREKANI

1. Mmewageuza Ndugu zetu kuwa Nyumbu (Bila ubishi tunekubali)

2. Mmeingia Mikataba ya kuwaoa ndugu zetu (nyumbu wa kiume) bila ubishi tumekubali muwachukue hata bila mahali

3. Mmewageuza hao nyumbu kuwa vyombo vyenu vya propaganda dhidi ya tawala halali zilizocchaguliwa kidemokrasia barani afrika (bila ubishi tumekubali, japo hatutakubali kutawaliwa na nyumbu)

4. Mmewageuza nyumbu hao kuwa vifaa vya kuandaa ujio wenu wa kujaribu kutawala tena bara letu na kutwaa rasilimali zetu ambazo hamkujua awali kwamba tunazo (tumekubali muwatumie lkn mjue hamtafanikiwa maana tumejiandaa)

Sasa tunawaambia, endeleeni na yote, ikibidi hata hizo dola 460milioni wapatieni mabibi zenu wa unyumbuni lakini mjue kwamba, KAMWE hamtafanikiwa katika MAJARIBIO YENU...na kwa kuanzia, kibaraka wenu wa Hizbu ataisikia Ikulu yetu ya Visiwani kwenye vyombo vya habari na Sheria ya Mitandao itaimalishwa zaidi ili kudhibiti kabisa harakati za nyumbu mitandaoni....mfikishieni salaam Trump.

WASALAAM
 
Kwa taarifa tulizonazo ni kwamba ndugu na rafiki yetu Peter Kalihose hatunaye tena.

Peter Kalihosekwa taarifa za awali zinadai kuwa kilichomuua ni Ugonjwa wa Kisukari huko Kampala nchini Uganda.

Taarifa za awali zinadai pia kuwa mwili utasafirishwa toka Uganda hadi Kasulu mkoani Kigoma.

Tunaendelea kufuatilia zaidi kupata habari za uhakika za Kada huyu machachari wa Chama cha mapinduzi.

Njia yetu ya kumrudia Mola ni Moja tu kwake leo kesho kwetu....

Rest in Peace Peter.

RIP
 
Huyu jamaa ni ndugu yangu na hivi ninavyoongea mwili bado haujafika Kasulu.

Inavyosemakana (bado hatujathibitisha wanandugu mapaka tuuone mwili wake ndio tutalithibitisha hilo) amejichoma visu mwilini kwa lengo la kujitoa uhai kwa sababu maisha ni magumu kwa upande wake.
Hizi habari za kujidhuru kwa kisu zimetolewa na mwanamke aliyekuwa akiishi naye huko Uganda.

Mara kwa mara alikuwa anapiga simu kwa kaka yake anaitwa Majaliwa Andrea Kalihose akimlalamikia kuwa maisha yamempiga sana kiasi anakosa hata namna ya kusonga mbele.
Pia kuna kipindi alikoswa koswa kuuawa na watu wasiojulikana baada ya kumkimbiza muda mrefu alinusurika baada ya kuingia kwenye vichaka.

Kabla ya hapo alikuwa ni mfanyakazi wa serikalini ila alivyoingia bwana Pombe madarakani alimtumbua huyu bwana kwa ubadhirifu katika ofisi yao. Baada ya hapo akaenda Uganda kutafuta maisha kwa njia nyingine.

Nikipata muda nitawapa update kwa jinsi tutakavyoupokea mwili wake.
hahaha nimeingia kwenye page yake kuna maneno kama haya uliyoandika ..

kwenye keyboard wana ccm wanatukana kwelikweli kumbe wengine wana ukata mpaka wanajitoa uhai ..........

hata hawa wa jf wako hivyo ila kwavile wanajificha nyuma ya keyboard..
IMG-20150711-WA0045.jpg
poleni
 
Mgonjwa anaendelea kudunda tu na afya njema, waliomkashifu na kumtukana wanaendelea kuiaga hii dunia, wajifunze waliobaki kua utalindwa na policcm lakini hawawezi kuzuia roho saa ikitolewa.Mungu amuweke panapostahili
 
Enyi Wazungu, WAMAREKANI

1. Mmewageuza Ndugu zetu kuwa Nyumbu (Bila ubishi tunekubali)

2. Mmeingia Mikataba ya kuwaoa ndugu zetu (nyumbu wa kiume) bila ubishi tumekubali muwachukue hata bila mahali

3. Mmewageuza hao nyumbu kuwa vyombo vyenu vya propaganda dhidi ya tawala halali zilizocchaguliwa kidemokrasia barani afrika (bila ubishi tumekubali, japo hatutakubali kutawaliwa na nyumbu)

4. Mmewageuza nyumbu hao kuwa vifaa vya kuandaa ujio wenu wa kujaribu kutawala tena bara letu na kutwaa rasilimali zetu ambazo hamkujua awali kwamba tunazo (tumekubali muwatumie lkn mjue hamtafanikiwa maana tumejiandaa)

Sasa tunawaambia, endeleeni na yote, ikibidi hata hizo dola 460milioni wapatieni mabibi zenu wa unyumbuni lakini mjue kwamba, KAMWE hamtafanikiwa katika MAJARIBIO YENU...na kwa kuanzia, kibaraka wenu wa Hizbu ataisikia Ikulu yetu ya Visiwani kwenye vyombo vya habari na Sheria ya Mitandao itaimalishwa zaidi ili kudhibiti kabisa harakati za nyumbu mitandaoni....mfikishieni salaam Trump.
Hizi ni jumbe za marehemu kule Face Book
WASALAAM
Leo ndio leo...tarehe 8 Desemba 2016...SIKU YA JOHN KUONEKANA...

Leo asipoonekana ninyi [HASHTAG]#NYUMBU[/HASHTAG] wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro tunaomba msitupe usumbufu, mjipeleke wenyewe kwa Nyampara wa KISONGO...

Tunajua mtajaribu kupika nyaraka za kuonyesha kwamba John alihamishwa kihalali na kisha akafa....tehetehee, msilojua ni kwamba, PM hakukurupuka, anao UZI MZIMA wa jinsi John mlivyomuuza na anajua pia alipo...

LAZIMA MTUMBULIWE.....ili mkaongeze idadi ya nyumbu wanaomlaumu JPM.

TUMECHOKA NA SINEMA ZENU.....

#AWAMU_YA_5!!
 
Na hiyo hapo chini ndo post yake ya mwisho FB

Peter Kalihose
December 11, 2016 at 12:56pm ·
Unapokuwa umekufa hujui chochote wala husikii maumivu, wale walio hai ndio hubeba maumivu ya kifo chako....

Hiyo ni sawa sawa na pale unapokuwa lichadema, huwezi kujua uzito wa upumbavu wako.....bali WanaCCM ndio siku zote wataumia na kusahihisha au kukabiliana na madhara yatokanayo na upumbavu wako...

Ukiwa lichadema, kamwe hutaona uchungu kwa mambo mabaya dhidi ya Taifa letu...

1...utashangilia rushwa,
2...utakumbatia wala rushwa,
3...utawaunga mkono wasaliti wa maendeleo,
4...utawabeba wahujumu uchumi 3...utawapongeza wanafiki...
5...utakuwa tayari kuwafia wapiga dili

Gharama za hayo yote zitakuja kulipwa na UZALENDO wa WanaCCM ambao watahakikisha MASLAHI YA TANZANIA yanalindwa, yanapiganiwa, yanatetewa na kuwekwa mbali na MIKONO YA WENYE HUSDA...

MWENYEZI MUNGU, HATUWACHUKII NYUMBU, TUNAJUA NI VIUMBE WAKO, TUNAJUA BILA WAO [HASHTAG]#MLISHANO[/HASHTAG] (ECO SYSTEM) USINGEKAMILIKA....LKN TUNAOMBA WAENDELEE KUWA NYUMBU...

CCM IDUMU MADARAKANI MILELE KWA MASLAHI YA TAIFA LAKO LA TANZANIA ULILPTUPATIA TUISHI...

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki CCM...

nadhani hapa alikuwa ananoa kisu alichojitobolea
 
Duh Poleni kwa Msiba ila Mkuu umemuanika vibaya nduguyo... Yaani kumbe alikuwa jipu na alitumbuliwa tayari na Magu duh! haya tupe na Nick name yake humu JF
Mkuu humu JF sijui alikuwa anatumia jina gani kwa kweli.

Ukweli huwa mchungu ila ndio ameshaenda yoyote tutakayoyaongea hayatoathiri kifo chake tena.
 
Huyu jamaa ni ndugu yangu na hivi ninavyoongea mwili bado haujafika Kasulu.

Inavyosemakana (bado hatujathibitisha wanandugu mapaka tuuone mwili wake ndio tutalithibitisha hilo) amejichoma visu mwilini kwa lengo la kujitoa uhai kwa sababu maisha ni magumu kwa upande wake.
Hizi habari za kujidhuru kwa kisu zimetolewa na mwanamke aliyekuwa akiishi naye huko Uganda.

Mara kwa mara alikuwa anapiga simu kwa kaka yake anaitwa Majaliwa Andrea Kalihose akimlalamikia kuwa maisha yamempiga sana kiasi anakosa hata namna ya kusonga mbele.
Pia kuna kipindi alikoswa koswa kuuawa na watu wasiojulikana baada ya kumkimbiza muda mrefu alinusurika baada ya kuingia kwenye vichaka.

Kabla ya hapo alikuwa ni mfanyakazi wa serikalini ila alivyoingia bwana Pombe madarakani alimtumbua huyu bwana kwa ubadhirifu katika ofisi yao. Baada ya hapo akaenda Uganda kutafuta maisha kwa njia nyingine.

Nikipata muda nitawapa update kwa jinsi tutakavyoupokea mwili wake.
Tunashukuru kwa maelezo
 
Back
Top Bottom