TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

Mbona lema anasota peke yake au nyie wengine mnaogopa kutangaza?
Kuna uhusiano gani wa Lema na mimi,kwanza mimi sina chama,bali natamani Sizonje hata apewe sumu ila nipate haki zangu za utumishi kama mtangulizi wake alipokuwa anatoa.
 
Mungu amuweke mahali anapostahili.
Huyu jamaa alinishangaza sana kipindi cha uchaguzi kwa jinsi alivyojitoa ufahamu Na kukejeri afya ya Lowassa.
hata kama Ni siasa.....niljihakikishia wakati huo kuwa huyu jamaa alikuwa tayari amekufa ubongo. kilichokuwa kimebaki Ni hako karoho kalikotoka juzi.
Huyu alikufa kitambo....maana maneno Yale dhidi ya Lowassa, hayawezi kutolewa Na MTU aliye hai.
 
Leo ndio leo...tarehe 8 Desemba 2016...SIKU YA JOHN KUONEKANA...

Leo asipoonekana ninyi [HASHTAG]#NYUMBU[/HASHTAG] wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro tunaomba msitupe usumbufu, mjipeleke wenyewe kwa Nyampara wa KISONGO...

Tunajua mtajaribu kupika nyaraka za kuonyesha kwamba John alihamishwa kihalali na kisha akafa....tehetehee, msilojua ni kwamba, PM hakukurupuka, anao UZI MZIMA wa jinsi John mlivyomuuza na anajua pia alipo...

LAZIMA MTUMBULIWE.....ili mkaongeze idadi ya nyumbu wanaomlaumu JPM.

TUMECHOKA NA SINEMA ZENU.....

#AWAMU_YA_5!!
Hivi huyu Faru John ni mtoto wa kiongozi??

RIP Marehemu kada wa CCM.
 
Poleni ndugu jamaa na marafiki na wote mlioguswa na msiba huu Mungu awape faraja ,Pumzika kwa Amani Marehemu
 
Idiot.
TRA ndio wamesimamisha mimi nisipate annual increment na kupanda daraja,mambo ambayo yapo kwenye mikataba yangu ya kazi,hebu angalia na ndugu zako walio kule kijijini mbona umeoza ubongo wewe.
 
Idiot.
TRA ndio wamesimamisha mimi nisipate annual increment na kupanda daraja,mambo ambayo yapo kwenye mikataba yangu ya kazi,hebu angalia na ndugu zako walio kule kijijini mbona umeoza ubongo wewe.
Umehakikiwa?
 
Subiri wengine wote wahakikiwe mtapata nyongeza sasa ukimuombea afe atakupa nani?
Wote vichwa maji,wewe na Sizonje.
Watumishi wanahakikiwa mwaka mzima?

Wewe hujui akifa au kuuawa anachaguliwa mwingine mwenye akili.
 
Akichaguliwa mwingine asipokupa nae utamuua?
Ni ngumu kuchaguliwa chizi tena watu tumeumia vya kutosha,na wanaotutegemea nao tunawalisha maneno machafu kuhusu huyu kichaa aliepewa rungu.

Wewe mwenye cheo endelea kukenua meno ila kumbuka kule kijijini ndugu zako wanaumia hasa wenye watoto wako vyuo vikuu wamekosa mikopo.
 
Kuna mwaka wowote waombaji wote walipata mikopo?
 
Kuna mwaka wowote waombaji wote walipata mikopo?
Tulikuwa tunapata wengi kuliko hawa wa 2016/2017.

Inawezekana nabishana na kichaa ambaye hata chuo kikuu hakufika na kama umefika basi chuo cha kata.

Maana huna akili timamu kama Sizonje.
 
Tulikuwa tunapata wengi kuliko hawa wa 2016/2017.

Inawezekana nabishana na kichaa ambaye hata chuo kikuu hakufika na kama umefika basi chuo cha kata.

Maana huna akili timamu kama Sizonje.

Hapa maana yake unadharau secondari za kata - logically!
 
Tulikuwa tunapata wengi kuliko hawa wa 2016/2017.

Inawezekana nabishana na kichaa ambaye hata chuo kikuu hakufika na kama umefika basi chuo cha kata.

Maana huna akili timamu kama Sizonje.
Wachache kwa sab hawakuwa na vigezo na vigezo vya chupi vimeondolewa
 
Tulikuwa tunapata wengi kuliko hawa wa 2016/2017.

Inawezekana nabishana na kichaa ambaye hata chuo kikuu hakufika na kama umefika basi chuo cha kata.

Maana huna akili timamu kama Sizonje.
Unataka wote tuwe graduate kabla ya kuwa members humu?
 
Back
Top Bottom