Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,984
4,083

Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu,​

" Hakuna kama Samaia "​



Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine zinazounda jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC )

Vilevile,baada ya Tanzania kutajwa kuwa ndio nchi yenye gharama ndogo ya kununua bando yaani ( GB 1 ) Africa || Pongezi zote ziende kwa kiongozi mkuu wa Serikali Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa na nzuri anazozifanya katika kuwaletea maendeleo endelevu watu wake hawa ambao bado ni masikini wanahitaji unafuu wa maisha,

Ukisoma taarifa za jarida maarufu duniani la GPP ( Global Petrol Price) linaonesha hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021 na mwishoni mwamwaka jana 2020 bei ya Umeme kwa ( kWh) kwenye mataifa makubwa ya Africa mashariki ( electricity tariff ) ilikuwa kama ifuatavyo :-

1. Rwanda $0.258kWh au TZS 567,6

2. Kenya $0.212kWh au TZS 466.4

3. Uganda $0.191kWh au TZS 420.2

4. Tanzania $0.099kWh au TZS 217.8


Hapa Watanzania mnielewe vizuri,Bei hii inamaana kuwa "Umeme unaotumia Wewe Mtanzania kwa siku mbili Ukienda Rwanda, Kenya au Uganda utatumia Umeme huohuo kwa masaa tu " Watanzania tuweni na shukrani kwani nchi yetu iko vizuri na katika uelekeo sahihi,

Watanzania lazima tuelewe vizuri, Juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi kupitia Serikali yake katika kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wake huwezi kuzipata popote pale Africa na ushahidi ni hizi taarifa ambazo chanzo chake si Watanzania,

NB,Hapa tu ikiwa bado hatujaachia zile megawatt zetu 2,115 toka bwawa la Mwl Nyerere ( JNHPP ) kwenye gridi ya Taifa,

"
Amini nawaambieni,Tanzania tuko vizuri Sana kamwe tusijidharau wala kujilalamikia cause God loves us "

IMG-20210921-WA0040.jpg

VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
 

 
Kwan bei nafuu imeanza Leo?.tulikuwa na bei nafuu zaidi ila sasa wametuongezea mashida kibao .hatutakiwi kujilinganisha na vijinchi vidogo kama HV .cc tuna vyanzo kibao.wakenya wangelikuwa na vyanzo kama cc wangelikuwa mbali sana.mama ndio anatuvuluga zaidi.waliokuwa watetezi wa symbion Leo wameinginzwa kuwa wajumbe wa bodi wa tanesco.hapo unategemea kinachofata ni nn.ni bora kuongozwa kijeshi kuliko kuongozwa na walafi
 
Hivi huyo mama yenu,sijui bibi shida yake au hatari mnayoona kwake ni hiyo mnaita Sukuma Gang,na kwa nini,mmesahau Sukuma ipo kuanzia Singida,Tabora,Shinyanga,Mwanza,Mara,Geita,na Simiyu,kuweni makini nyie vima
Sukuma gang mnahangaika sana,sukuma gang iliyokuwa kwenye system ndio tunanyoka nayo sio hao wasaka mlo ..

Go mama go 😀😀

Screenshot_20210927-075956.png


Screenshot_20210927-075641.png


Screenshot_20210925-100310.png


Screenshot_20210925-100228.png


Screenshot_20210921-102138.png


Screenshot_20210920-151258.png


Screenshot_20210920-074500.png
 
Fanya wewe mkuu sio lazima mwandishi,



Ni bora afanye yeye mwenyewe kwani inawezekana sijamuelewa vyema katika hizo data alizotoa,

Kwahesabu za (unit Kwhr), kwa kila nchi hesabu inakuwa hivi:-

1---Rwanda 0.258 kwhr --- Tsh 567.6
(kwa 1kwhr=Tsh 2,200.)

2----Kenya 0.212 kwhr----Tsh466.4.
(Kwa 1kwhr =Tsh, 2200)

3---Uganda 0.191 kwhr ----Tsh 420.
(Kwa 1kwhr=Tsh2,198)

4----Tz 0.099 kwhr---Tsh217.8
Kwa 1 kwhr= Tsh 2,200

Ndio maana nikataka yeye mwenyewe atoe ufafanuzi wa hicho alichoandika kwani simuelewi, kwani nijuavyo hapa Tz unit 1 (1kwhr) ni karibu Tsh 355.
 
Wasalaam JMT,



.........Kazi iendelee .........



Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine zinazounda jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC )

Vilevile,baada Tanzania kutajwa kuwa nchi yenye gharama ndogo ya kununua bando yaani ( GB 1 ) Africa || Pongezi ziende kwa kiongozi mkuu wa Serikali Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa na nzuri anazozifanya katika kuwaletea maendeleo endelevu watu wake,

Ukisoma taarifa za jarida maarufu duniani la GPP ( Global Petrol Price) linaonesha hadi mwanzoni mwaka huu wa 2021 na mwishoni mwamwaka 2020 bei ya Umeme kwa ( kWh) kwenye mataifa makubwa ya Africa mashariki ( electricity tariff ) ilikuwa kama ifuatavyo :-

1. Rwanda 0.258kWh au TZS 567,6

2.Kenya 0.212kWh au TZS 466.4

3. Uganda 0.191kWh au TZS 420.2

4. Tanzania 0.099kWh au TZS 217.8

Hapa Watanzania mnielewe vizuri,Bei hii inamaana kuwa "Umeme anaotumia Mtanzania kwa siku mbili akienda Rwanda, Kenya au Uganda atatumia Umeme huohuo kwa masaa tu " Watanzania tuweni na shukrani nchi yetu iko vizuri Sana,

Watanzania lazima tuelewe vizuri, Juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi kupitia Serikali yake katika kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wake huwezi kuzipata popote pale Africa na ushahidi ni hizi taarifa ambazo chanzo chake si Watanzania,

" Amini nawaambieni,Tanzania tuko vizuri Sana tusijidharau wala kujilalamikia God loves us "

VIVA TANZANIA VIVA | VIVA SAMIA VIVA


View attachment 1954959

Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom