Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Hii Dunia kumbe bado inamazuzu kiwango hiki,ungekuwa hulelewi na shemeji ungejua mfumuko wa bei,
Hata hivyo shemeji yako au Dada yako akirudi nyumbani jioni Muulize,Bei ya mafuta ya kula,sukari sembe na gesi.
Jibu utakalolipata kesho lete mrejesho.
Uwa nafurahi watu wa nchi wapiga vigelegele wanapokuwa wanajaribu kujustify mabaya na failures kwa kucompare na nchi za nje, sijui kwanini uwa hawafanyi hivyo hivyo kwenye mambo ya maendeleo.
 
Uwa nafurahi watu wa nchi wapiga vigelegele wanapokuwa wanajaribu kujustify mabaya na failures kwa kucompare na nchi za nje, sijui kwanini uwa hawafanyi hivyo hivyo kwenye mambo ya maendeleo.
inflation sio mambo ya maendeleo?
 
inflation sio mambo ya maendeleo?
Kuna inflation hapa tena kwenye mahitaji ya msingi kutuletea hilo bandiko na kusema kathibiti inflation ni kujaribu kujustify kuwa haipo.
Kuna inflation almost kwenye kila kitu hadi vifaa vya ujenzi na chakula.
 
Ongezeko la asilimia 3% bado ni dogo ndio maana tunaona kadhibiti,

Tafuta wastani wa ongezeko ndio tunaita inflation rate mkuu,

Inflation ni ratio
 
😁😁😁
16412971560760.jpg
 
Ongezeko la asilimia 3% bado ni dogo ndio maana tunaona kadhibiti,

Tafuta wastani wa ongezeko ndio tunaita inflation rate mkuu,

Inflation ni ratio
La msingi kwa mwananchi ni unafuu wa maisha, siyo namba za kwenye kabrasha. Kioo tinted kutoka 75000 mpaka 180,000 no hatari, mafuta ya kupikia, ngano yank mambo yamepanda kwa mwananchi wa kawaida ni mzigo.
 
Mkuu haya mambo yanafanyika wapi huko? Huenda unahoja ya Msingi
 
Wewe kila kitu ni kupinga tu duuh
Sikuwahi kujua kuwa kuna siku nitazaliwa kwenye Taifa ambalo Rais wake atakuwa anahamasisha ufisadi.CCM kuna laana inawatafuna😁😁😁
 
Hakuna cha tafsiri hapa.Anaposema kuwa mawaziri wajipimie inahitaji tafsiri gani?Unapaka ufisadi mafuta kwa mgongo wa chupa?
Wajipimie Safari sio kila siku uko barabarani, Kumbuka safari za waziri anapanga yeye mwenyewe
 
Wajipimie Safari sio kila siku uko barabarani, Kumbuka safari za waziri anapanga yeye mwenyewe
Posho za safari zipo kwa mujibu wa ile sheria ya wafanyakazi wa uma,huwezi kumwambia mtu ajipangie posho yeye mwenyewe.

Katika Taifa ukiruhusu wafanyakazi wa uma wajipangie posho wao wenyewe basi ile fedha ya maendeleo inaweza kuwa ni chini ya asilimia moja ya budget yote na nyingine zikaishia kwenye posho.
 
Wajipangie idadi ya Safari sio posho mkuu, Posho rate inajulikana mbona,!!
 
Wajipangie idadi ya Safari sio posho mkuu, Posho rate inajulikana mbona,!!
Ukiangalia hii video ndefu hapa chini anazungumzia jinsi watumishi wanavyokula hela za miradi hadi miradi inakuwa compromised ndipo anawaambia kuwa wasile hela nyingi hadi miradi inakuwa haikamiliki.

Kumbuka katika miradi budget ya safari huwa ipo fixed kiasi kwamba haiwezi kuathiri fedha za miradi.Huwezi kujipangia safari ambazo zipo nje ya kifungu cha safari.

Samia anazungumzia fedha za miradi kuliwa hadi miradi inakuwa haikamiliki ndipo anawaambia kuwa waache ulafi, wajipimie.
 
Nchi tajiri kabisa dunia ya Marekani inayomiliki zaidi ya asilimia 20 ya Uchumi wote wa dunia inashuhudia mfumuko mkubwa na mbaya wa bei kuwahi kutokea katika nchi hio unaofikia asilimia 6.8, huku Tanzania sisi tukisalia kwenye mfumuko wa asilimia kati ya 3 & 5.

Mfumuko huu wa bei wa nchi ya Marekani haujawahi kutokea kwa miaka 40 iliyopita kwani kwa mara ya mwisho ulishuhudiwa mwaka 1982,Si Marekani tu UK, Uturuki, Ujerumani nako hali ni mbaya,

Wakati watanzania wengi tunalalamika kwamba vitu vimepanda bei nchini hali ni tofauti sana kwa majirani zetu na duniani kwa ujumla wake kwa bei ya vitu huko ni juu zaidi, Watanzania tufanye bidii kuelewa yanayoendelea duniani sio kulalamika pekee ,

Kwa mujibu wa World Population Review Tanzania ilikuwa na Inflation ya asilimia 3.4 mwaka 2021 wakati Kenya ikiwa na asilimia 6.06,Rwanda asilimia 13.16 na Uganda ni asilimia 3.0 japo inflation imeendelea kupanda maeneo mengi,

Wakati huo huo huko duniani Venezuela wao wakishika mkia kwa kuwa na inflation rate ( CPI ) ya asilimia 9,986 na Zimbabwe wakifikia asilimia 56.8 na kuifanya SADC kuwa na ongezeko la inflation kwa mwaka 2020|21 linalofikia asilimia 3.5 na kuifanya SADC kuwa na annual inflation ya asilimia 46.9,

Inflation inachangiwa na mambo makubwa matatu ambayo ni Demand|Mahitaji ya bidhaa na huduma , Gharama za Uzalishaji|Cost of Production na Nguvu kazi au built in inflation

Tanzania kinachotusumbua ni "Cost Push Inflation " yaani mfumuko wa bei unaosababishwa na gharama za uzalishaji hasa baada ya kuongezeka kwa bei za "mafuta" na kukosekana kwa Umeme wa uhakika wakati flani,

Mpaka naandika makala hii mfumuko wa bei Tanzania kwa bidhaa na huduma kwa Vipimo vyote vya CPI,PPI na WPI unakisiwa kufikia kati ya asilimia 3 & 5 hii ni kwa mujibu wa ripoti ya mwisho ya BOT,

Tunaposema Tanzania ipo salama sana chini ya Mhe Samia Suluhu Hassan tunamaana hii na lazima Watanzania watambue kuwa kupanda kwa bei ya bidhaa na huduma Tanzania ni "JAMBO LA DUNIA NZIMA" wala si jambo la Mama Samia Suluhu Hassan CCM,ACT-Wazalendo,NCCR-Mageuza wala CHADEMA ni jambo la dunia nzima.

View attachment 2070586
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Tanzania tunaendelea vizuri ni kweli kabisa
 
Comparisons unqzoweka za mfumuko wa bei zinasaidia nini ugumu wa maisha ya Mtanzania?

Kwa hiyo unamaanisha, pamoja na shida zetu ambazo zinaweza kutatulika kupitia resources zilizopo badala yake unatubainishia kwamba mbona fulani na fulani wana shida kuliko sisi?

Unajua Marekani wana Social Security Fund inayowapa posho jobless? Kwao mfumuko wa bei unatibika.

Uache ujinga wa kutuona sisi hamnazo. Tunafanya research na tunajua kuwa hii serikali inawaminya wananchi wake bila huruma.
Pesa haipo kwenye mzunguko na inakwapua kwa nguvu bila huruma kupitia tozo zisizo halali
 
Back
Top Bottom