Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947


Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front


Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s (DK)



Salender Bridge 1960s


Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!


Seaview-Mawingu House 1960


Arusha-Clock Tower 1966


Dodoma City Center 1974


Bukoba City Center 1972


Jengo La CCM Likiwa Linajengwa Enzi Hizo


Korogwe Hotel


Same Hotel


Musoma 1960


Handeni Bomani Enzi Hizo


Shule Ya secondary Kisutu 1975


Iyunga Secondary 1966
 

Uko sahihi kabisa Mkuu. Enzi hizo za UDA, DSM Muda wa basi kupita kituoni tulikuwa tunaufahamu kwa hiyo wanafunzi tunajiandaa muda wetu nakumbuka basi Uwanja Taiakwetu lilikuwa linapta saa kumi na mbili na nusu Juu ya alama. Na hilo basi ilikuwa likichelewa 5 minutes tena kwa nadra. lakini sasa hivi kila mtu na lake. Ukiuliza ooh siku hizi foleni ilimradi shaghalabagala.
 
Ahsante mkuu, kumbe uzi bado upo hai pamoja na kwamba umetolewa na King Kong III kitambo kidogo
 
Last edited by a moderator:
Mabasi ya Ikarus yalikuwa marefu kama haya ya mradi wa mabasi yendayo kasi!! yatakapo anza kazi yatatukumbusha enzi hizoooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…