Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 912
- 4,247
Msemaji wa serikali ametoka na kufafanua kauli ya Waziri kwamba watakaoshangilia timu ya kigeni au kuvaa jezi hawatavumiliwa na akaongeza mashabiki wataingia uwanjani na passport.
Msemaji wa Serikali amedai ule ulikuwa ni utani, nakubaliana naye ila wanaamini waziri anaweza akafanya utani kwenye diplomasia na likawa jambo dogo?
Ni hatua gani zimechukuliwa dhidi yake kwa kufanya utani kuhusu diplomasia yetu na Egypt na South Africa?
Kwanini waziri asingeomba radhi mwenyewe au kusema ulikuwa utani hadi msemaji wa serikali aingilie kati? Ndumbaro Ndumbaro Ndumbaro; uwaziri una maadili yake jielimishe.
Pia soma