Tanzania tumeikosea nini Marekani?

Tanzania tumeikosea nini Marekani?

Hivi kwenye dunia hii kuna pesa safi? Si ajabu unacholipwa wewe hapa Tanzania pesa zimetoka kwenye Kisutu Revenue Authority ambayo mmoja wapo wa wachangiaji ni Erick Kabendera

Tunasubiria za Tito Magoti na kina Rugemalila zikamlipe Musiba

Hiyo ndio pesa
Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika dunia hii tunayoaswa kusaidiana wakati wa shida na raha hata katika maisha ya kawaida tu. unahitaji zaidi kuwa na uhusiano na nchi kama amerika.
Kama mtu hataki Urafiki na wewe mpaka mke wako awe mke wake, utalazimisha?
Urafiki sahihi ni Urafiki usio na vikwazo visivyo na sababu.
Kwa nchi kama Marekani, wangependa wanyenyekewe na wapewe kila kitu for free
 
Hatuhitaji pesa zao. Tanzania imeshakua tishio kwa nchi za magharibi ambao walizoea kuona bakuli la Tanzania. Hatuhitaji makombo, vyanzo vyetu vya kutuvusha vinawatia kiwewe, wao waendelee kuchapisha pesa kila wakipata matatizo maana sio mara yao ya kwanza. Bado tunakumbuka jinsi walivyokuwa wanachapisha pesa 2008 kwa miezi 30 wakati Barings walipoporomosha uchumi wa dunia.
 
Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Hahaha wakitunyima huwa tunamaneno sisi wabongo....wabongo sio watanzania,hapa naomba nieleweke.

Hawa mabeberu akina zito wakisemelea,tunalumu kuwa wanatufitinisha kumbe wanawaambia ukweli sisi ni dona kantri,tunajiweza.

Hata zile za elimu tulizofurahia ilikuwa ni geresha tu...hatutishiki.

Kama kajikorona tu tumekachukulia poa,sasa sisi zinatuhusu nini,wakileta tutanywea bia zetu.

Sent using iphone pro max
 
Zilianza za MCC,sisi ni Mataajiri,Tuna mali nyingi,halafu mabeberu wametunyonya sana,na kwavile wanashida na sisi,watakuja kutupigia magoti,tuvumilie tu,ni muda mchache tu.
 
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?

Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Meko anagundu toka ajulikane hela za misaada anapeleka kujengea kwao.ndio machungu tunapewa sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?

Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Tatizo sia Tanzania, tatizo ni siasa za Trump, tuwe na amani, atamaliza tu utawala wake. Kisa tuna mahusiano mazuri na China.
Siasa za Trump zimeganda kihistoria ya enzi za vita baridi, hajazinduka bado.
 
Wamarekani hawajawahi kuwa rafiki wa Tanzania toka enzi ya Mwalimu Nyerere. JK ndio pekee alijitahidi kukaa nao karibu.
Wengine sababu ya misimamo, wanaonekana sio rafiki kwa US.
Yote kheri. Baniani mbaya, Kiatu chake dawa

..John Kennedy na Jimmy Carter walikuwa marafiki wa Mwalimu Nyerere kiasi cha kumpa heshima ya state visit.

..pia tulipopatwa na janga la njaa miaka ya 70 Marekani walitupa msaada wa chakula.

..mahusiano ya Tz na USA hayajawahi kuwa mabaya isipokuwa kwa kipindi kifupi miaka ya 60 ambapo tuliwahi kufukuziana wanadiplomasia wetu.
 
Masikini bana..yani wewe unalalamika kunyimwa misaada? Ni heri kuwa masikini wa vitu lakini ukawa tajiri wa roho. Maana utajiri ni maono na ni kitu kinachochukua process mpaka kutokea, hivyo tunaposema sisi ni matajiri inamaana tumeshatazama mambo kwa kuona mbali na kuamini kweli sisi ni matajiri. Unadhani hata ukipewa huo msaada Ndio utakuwa tajiri? zaidi utakuongezea mzigo wa madeni maana hizo hela hawakupi bure bali wanakukopesha.
 
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?

Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?

Hiyo misaada wangeitumia wao kuzuia vifo zaidi ya watu elfu moja vinavyotokea kila siku kwa ugonjwa wa corona.sisi huku hata bila misaada tutaishi tu maana hatujiitaji hiyo fedha kiasi hicho zaidi ya chakula ambacho tuna uwezo wa kukizalisha bila kuwategemea wao.
 
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?

Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Tanzania Rafikie ni mchina na marekani hapendi wajamaa
 
Wiki mbili zilizopita ubalozi wa Marekani nchini Tanzania ulitoa 1 million US dollar kusaidia nchi kupambana na Corona.

Lakini ni kweli Marekani na nchi nyingine wafadhili wamepunguza sana misaada tangu 2016. Uchaguzi wa Zanzibar, ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ikiwamo kudhuluma binadamu haki yao ya kuishi na shrinking democratic space ni sababu wanazozitaja.
 
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?

Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Dah...wanajua ...miaka 30 ijayo tutakuwa nao sambamba kiuchumi

Sent using Beretta ARX160
 
..John Kennedy na Jimmy Carter walikuwa marafiki wa Mwalimu Nyerere kiasi cha kumpa heshima ya state visit.

..pia tulipopatwa na janga la njaa miaka ya 70 Marekani walitupa msaada wa chakula.

..mahusiano ya Tz na USA hayajawahi kuwa mabaya isipokuwa kwa kipindi kifupi miaka ya 60 ambapo tuliwahi kufukuziana wanadiplomasia wetu.

The current administration wont be our favourite for so many reasons. If their relationship with NATO and Europe hangs in a balance, we should not complain alot.
 
Unashangaa nn sasa wakati wambea wakina zitto kabwe na tabia zao za kidada wameshafanya yao
 
Back
Top Bottom