Marekani hawataniwi, wao wanachukulia kweliMarekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Sisi tunaside bata aka chinese people aka corona people.Hivi mnamuelewa marekani kajitoa who anakuja na sanaa ingine, ila wakenya ni historia yao kuside na mabeberu
Whata about chinese money aka corona money?.Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Unataka kila siku uwe nchi masikini?
Yaani unalalamika kukosa msaada wa kimaskini!! Kuna watanzania ni nyumbu watembeao na miguu miwili.
Kupiga risasi binadamu mwwnzako kisa madaraka unadhan ni jambo dogo!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakifutwa chadema wewe ndo utaacha kuishi kwa msaada wa buku saba saba??
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuzua mjadala na wapenda misaada naweza kukuta nazozana na wakala wa mashoga nchini kupitia misaada ya US.Hacha kujimwambafai wewe masikini jeuri. Kodi yetu na bajeti yetu hatujawai kuikidhi tangu nchi hii imezaliwa.
Fala wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawauliza akina nani hao?Mmeshasahau...? Mlimwita...?
Ni IMF au USA?Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Duu....umenenaUnataka kila siku uwe nchi masikini?
Yaani unalalamika kukosa msaada wa kimaskini!! Kuna watanzania ni nyumbu watembeao na miguu miwili.
Sizitaki mbichi hizi ....Sio kila msaada lazima tupate, yeye marekani anawajua wavaa vilemba wake na sisi si miongoni mwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wako ana chuki ya wazi na Marekani, huwa anawaita mabeberu na kwamba hana shida hata ya kwenda kwao yeye ni Tajiri, halafu anawaita wezi, maneno yote yanawafikiaMarekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Kweli wewe ni mbao za mawe hasaUnataka kila siku uwe nchi masikini?
Yaani unalalamika kukosa msaada wa kimaskini!! Kuna watanzania ni nyumbu watembeao na miguu miwili.