barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Sababu ni simple, we dont support the the called human rights aka GAYHOOD/ LESBIANISM.Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo uku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
You get that fund if you constitutionally allow man to fvck man.