Tanzania tumeikosea nini Marekani?

Tanzania tumeikosea nini Marekani?

Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?

Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Kenya wapo ndani, Rwanda wapo ndani, sisi tuko nje tunajitafutia kwa nini tupewe. Tusipende vyote kwa wakati mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P

dunia hii huwezi kumvimbia mmarekani. tuache mihemko. tunawapotosha watanzania maskini.
 
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?

Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?

Wamarekani hawajawahi kuwa rafiki wa Tanzania toka enzi ya Mwalimu Nyerere. JK ndio pekee alijitahidi kukaa nao karibu.
Wengine sababu ya misimamo, wanaonekana sio rafiki kwa US.
Yote kheri. Baniani mbaya, Kiatu chake dawa
 
Hiyo nayo pesa kweli unaiita msaada?,pathetic
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?

Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dunia hii huwezi kumvimbia mmarekani. tuache mihemko. tunawapotosha watanzania maskini.
Nani aliyemvimbia mmarekani? You may sell your soul to them at your own peril. But remember, they don't have permanent friend or enemy. They just have permanent interest for their own nation.
 
Halafu unaweza kukuta anaelalamika ndio alieandika barua ili Tanzania isiletewe misaada.
 
Nani aliyemvimbia mmarekani? You may sell your soul to them at your own peril. But remember, they don't have permanent friend or enemy. They just have permanent interest for their own nation.
kuongea lugha yao tu tayari usha ‘sell your soul to them at your own peril’. huna hoja.
 
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?

Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Mmezuia wizi wa madini kwa wao na binamu zao Canada kwa manufaa mapana ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Probably you are correct..probably not
katika dunia hii tunayoaswa kusaidiana wakati wa shida na raha hata katika maisha ya kawaida tu. unahitaji zaidi kuwa na uhusiano na nchi kama amerika.
 
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?

Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Pesa yenyewe hiyo ndogo tu
Wakutasaidia ni sisi wenyewe tukomae huna mjomba huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchina hakusaidii kama hafaidi
TB mnatibiwa bure kwa fedha zao, Dawa za ukimwi mnapewa bure zimelipiwa na wao. Dawa za maralia mnanunua kwa nusu bei, mnajua nani analipia nusu iliyobaki? Safari hii mwambieni rafiki yenu mchina awasaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo la serikali ya tanzania ni waongo sana na wanafanya uhuni mwingi

Sent from my SM-G975F using Tapatalk
 
Neno Beberu kwa kiingereza ni Imperialist ikiwa na maana ya mtu mwenye mtaji mkubwa ambao unamlazimu awekeze nje ya nchi yake

Kwahiyo Beberu siyo tusi kama watu wanavyodhani
 
Back
Top Bottom