KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,372
Kama mtu hataki Urafiki na wewe mpaka mke wako awe mke wake, utalazimisha?
Urafiki sahihi ni Urafiki usio na vikwazo visivyo na sababu.
Kwa nchi kama Marekani, wangependa wanyenyekewe na wapewe kila kitu for free
Watoto mliozaliwa mwaka 2010 mnawachukulia Marekani kama Mungu wenu. Mnajifanya kuwajua sana wakati akili zenu ndogo tena mmeziweka bond kwa Zitto na Tundu Lissu. Marekani mwenyewe Corona inamnyoosha vizuri tu, nyie mmekalia kukandwa nchi yenu kila kitu kibaya hamna jema hata kidogo
Marekani wanakufa na corona km kuku,na bado wanajiita superpower na kuna Watanzania wanawaminia
Sent using Jamii Forums mobile app
wanasubiri tuwa donateMarekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Haaahaaa....hatujamnunia. Kanuna mwenyewe kwa raha zake. Tutafanyaje sasa.
Hiyo mikakati yao ya do something mbona kama ndio ina worse outcomes! Au ni mimi ndio mgeni, sijaona wala kushuhudia jirani kifo kilichosababishwa na Covid 19 so far.Naona wanaishangaa mikakati ya Serikali ya ccm dhidi ya corona ambayo ni Do nothing
Kuna mikakati mingi sana kuanzia Lockdown Social distancing Social isolation Herd Immunity namingi asili yake ni Pandemic zilizowahi kupita kuanzia Spanish flu Black death Smallpox polio nkHiyo mikakati yao ya do something mbona kama ndio ina worse outcomes! Au ni mimi ndio mgeni, sijaona wala kushuhudia jirani kifo kilichosababishwa na Covid 19 so far.
Wewe unadhani kuwa masikini ni jambo zuri? bora kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti.Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
sisi ni matajiriMarekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Basis kesho tusema 10,000 walete mara 3au unasemje mjomba!idadi ndogo ya wagonjwa kw mujibu wa wizara...
ila naona piston zinachanganyia ..
Hii si dezo bali ni msaada wakati wa majanga. Italy, Spain, USA ambazo zimeendelea sana zimepokea misaada toka nchi mbali mbali kupambana na janga la Covid 19. Ukitaka kujua tunahitaji misaada kupambana na Covid 19, tembelea hospitali zenye hawa wagonjwa au hata waulize watumishi wa afya wa vituo hivyo.Kabisa...hii ni tabia ya kipumbavu sana..
Tabia ya kupenda dezo ni mbaya sana...na ukizoea dezo lazima ipo siku itakutokea puani wahenga walisema
Sent using Jamii Forums mobile app
Paskali, ukitembelea hospitali zetu kubwa zenye kupambana na hili gonjwa utajua hata msaada kidogo una umuhimu gani. Tuache ushabiki kwenye suala la kufa na kupona.Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P