Tanzania Postal Bank (TPB) wanatoa commission tu

Unajua watu humu mna piga kelele bure kwa TPB while its almost all the banks unapewa flat salary lakin unaongezeka kutokna na watu utakao leta barclays free lancer anapata 70000 per month na analipwa kwa commission on top of 70000 kma akileta mteja

mmmh hatari...so wao wanatakiwa wafikishe acc ngap au apeleke wateja wangap per month...au hata usipopata mteja hyo pesa ni lazma kupata...?
 
sor kwa kila fixd acc team leader na freelancer wanapata ef 10, pia tem leader ni 60 na commision inaanza kuhesabiwa kuanzia acc ya 61, same same kwa freelancer commision kuanzia acc ya 41....leo ndio ilikuwa deadline ya kurudisha mkataba wao...xjui watakuwa wamerudisha wangap kat ya wale 100 wa freelancer

watakaorudisha watakua na mioyo aisee!
 
sasa hadi ufungue acc 60 kwa mwezi na usisahau benk yenyewe ya posta,...freelancers laki na 40 before tax...kudadadeki usipofikisha acc 40 sijui 60 unalipwa elfu 60 ....unywele umejitahidi sana kuwateteta lakin hawa jamaa wangefunga benki wabuni new business hii sio kabisa....apo ofc wapi posta, My godness...kule viwandani export zone pale external mishahara yao ni laki na 80..bora liende tu cheeeee

Noma sana,,apo hujakutana na wateja watata wenye maneno ya shombo na wenye stress zao,,af ndo kwa mwez acc 60,,duh! kwel bora ht uende EPZ
 
Tanzania postal bank washenz wale, wewe freelnacer ulipwe laki na arobaini? Hapo nauli kwako, pesa ya chakula kwako, na hujui utawapata wapi hao wateja, inakulazimu utembee jiji lote ili utambue maeneo potential, unaishia kumaliza bure sori ya kiatu, na utaanza kuwekeana chuki ndugu jamaa na marafiki wakiwa na shida ya pesa wakikuomba itakubidi uwaambie sina kila siku wakati wanakuona umevaa majezi yao, wakati unachokipata ni siri yako tu, kweli ajira majanga..

Mkuu yan ni vitaa,,tena hapo kwenye ndugu ndo utatafuta ubaya kwelkwel mana usawahilin wakishaona umevaa majez yao wanajua umeajiriwa benk na unakula mshahara mnono kumbee...majangaa!
 
Hii bank siipendi niliibiwa pesa zangu kwenye ATM nilipoenda kutoa taarifa wakanambia nimeiba mwenyewe baada ya kunisumbua sana na nenda rudi!hadi leo ni zaidi ya mwaka!nimeamua kuachananao.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hahahah,,mkuu pole sana,,seriosly kabisa walikuambia umeiba mwenyewe???,,hv hii benki ni ya serikali?
 
Sasa team leader idad ya acc za nini tena, mim nilidhan team leader anakuwa kiongozi wa freelencers

Ht mm nilidhani hivyo kuwa team leader anawaongoza mafreelancers, na ndivyo walivyoandikaga kwenye tangazo lao,,kumbe kazi 1 tuu,,majangala kwel
 
Unajua watu humu mna piga kelele bure kwa TPB while its almost all the banks unapewa flat salary lakin unaongezeka kutokna na watu utakao leta barclays free lancer anapata 70000 per month na analipwa kwa commission on top of 70000 kma akileta mteja

Mkuu lkn kumbuka hii ya TPB ilikua ni 3 months contract,,so ni km wanakutumia wee then ukishawaletea wateja wa kutosha wanakubwaga na maslahi hukuyaona
 
Mkuu lkn kumbuka hii ya TPB ilikua ni 3 months contract,,so ni km wanakutumia wee then ukishawaletea wateja wa kutosha wanakubwaga na maslahi hukuyaona

Hapo ndo wanapokosea ila unaaruhusiwa pia ukiwa free lancer kuomba kwenye vacancy watakayotangaza itakua rahis coz uko pamoja nao ila wanakosea kiujumla
 
Pole mkuu, ingawa umemsingizia mtu mwingine, lakini nakushauri vumilia hapo hapo pata uzoefu huku ukiwa unacheki na fursa zingine.

uzoefu atapata mda gani wakati mda wote anakua anakaa kimanati manati akivizia watu wanaotembea awape sumu waingie line..lol
 
Jamani hvi ni kweli ntalipwa 140000? Hii sio haki kabisa, mfano huku wengine ni graduate, graduate nalipwa 140000/= kweli ukosefu wa ajira unafanya watu tunatumia kama cheap labour
 
Ndugu zangu walipoona nakwenda kufanya interview bank wanaona nitalamba bonge la shavu, kumbe majanga, sijui itakuwaje.
 
Dah hii hatari 140,000 hapo haujakatwa kodi,ukikatwa kodi na ukashindwa kufikisha acc kuanzia 41 si utapata 50,000 kwa mwezi?
 
Maisha bora kwa kila Mtanzania.... Mh!!? Huyu jamaa kweli kaboresha Maisha..... Hiyeeee na tutawapa tena cjui wametulisha kamzizi gani
 
Nimepata freelencers jamani, hapa natafuta alternative itakayonipa 140000 kwa mwez kuliko hii ya kusugua sori.
 
Back
Top Bottom