Tanzania Postal Bank (TPB) wanatoa commission tu

Tanzania Postal Bank (TPB) wanatoa commission tu

sasa hadi ufungue acc 60 kwa mwezi na usisahau benk yenyewe ya posta,...freelancers laki na 40 before tax...kudadadeki usipofikisha acc 40 sijui 60 unalipwa elfu 60 ....unywele umejitahidi sana kuwateteta lakin hawa jamaa wangefunga benki wabuni new business hii sio kabisa....apo ofc wapi posta, My godness...kule viwandani export zone pale external mishahara yao ni laki na 80..bora liende tu cheeeee
 
Mwanzo mgumu wazee. Poleni sana wahusika ila mtaja tusua tu.
 
Acc 60 kwa mwez si kazi ndogo aisee kwa benk yenyewe hii, ingekuwa crdb sawa inaweza pita siku hujapata hata mtu mmoja
 
sasa hadi ufungue acc 60 kwa mwezi na usisahau benk yenyewe ya posta,...freelancers laki na 40 before tax...kudadadeki usipofikisha acc 40 sijui 60 unalipwa elfu 60 ....unywele umejitahidi sana kuwateteta lakin hawa jamaa wangefunga benki wabuni new business hii sio kabisa....apo ofc wapi posta, My godness...kule viwandani export zone pale external mishahara yao ni laki na 80..bora liende tu cheeeee

Sio km nawatetea bt nimeeleza hali halisi km ambavyo ipo bila kuongeza wala kupunguza chumvi....mim mwenyew binafsi km nilivyosema nilipita kuwa freelancer bt baada ya kutajiwa viwango na kaz yenyew sikurud tena....kiukwel kaz ni ngum alaf pesa hamna...so nilichotaka ni kueka ukwel ili kila mtu auelewe bila kuongeza wala kupunguza maneno au kuongezea ushabik
 
access nako kuko hovyo mkuu

Nimetoka kufanya wrtten access leo asubuh...sijui itakuaje coz huku nako ndo hvyo...bt nina iman huku kutakuwa na uafadhali ukilinganisha na freelancer wa TPB...Hatari wajameni
 
Tanzania postal bank washenz wale, wewe freelnacer ulipwe laki na arobaini? Hapo nauli kwako, pesa ya chakula kwako, na hujui utawapata wapi hao wateja, inakulazimu utembee jiji lote ili utambue maeneo potential, unaishia kumaliza bure sori ya kiatu, na utaanza kuwekeana chuki ndugu jamaa na marafiki wakiwa na shida ya pesa wakikuomba itakubidi uwaambie sina kila siku wakati wanakuona umevaa majezi yao, wakati unachokipata ni siri yako tu, kweli ajira majanga..
 
Sasa 140,000 before tax unakata kodi ya nin nkt hiyo pay iko chini ya kima cha mshahara...minimum wage??? Labda sikuelewa vizuri tax law darasani...!!
 
Hii bank siipendi niliibiwa pesa zangu kwenye ATM nilipoenda kutoa taarifa wakanambia nimeiba mwenyewe baada ya kunisumbua sana na nenda rudi!hadi leo ni zaidi ya mwaka!nimeamua kuachananao.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Napingana kabisa na ww....mimi ni mmoja wa waliofanya interview ya freelancer kwa mkoa wa dar na kufanikiwa kupita na pia kwenda kwenye training ambapo mwishoni ndio viwango vya mshahara vilionyeshwa....ninachoweza sema ni ukwel usiofichika kuwa viwango vya utoaj pesa ni vidogo mnoo lakini si kwa kiwango ulichoweka ww...umeongeza chumvi mnoo...ukwel ni kwamba team leader anapewa laki 4 b4 tax deduction...hii ni constant endapo atafanikiwa kufungua acc 60 kwa mwez...akifungua extra acc which means kuanzia 41 and above, analipwa kwa kila acc inayozidi thus ile lak 4 inaongezeka....then hyo 1000 ni kwa kila quick acc itakayoongezeka ambapo hyo acc inafunguliwa na mteja kwa 2000, akifungua acc ya ef 5000 yy anapata ef 2000, na akifungua fixd acc yeye anapata ef 5, so team leader akikomaa kwa mwez anaondoka na zaid ya lak 4....
freelancer wao ndo majanga zaid coz constant kwa mwez ni lak na 40 b4 tax per mwez endapo atafikisha acc 40 na ile nyongeza ya account zinahesabiwa sawa na team leader mf ikizid fixd moja kweny zile 40 anapata kumi yake na inakuwa laki na nusu...kwa wote t.l na freelancer wasipofikisha acc zilizotakiwa yaan 60 na 40 kwa mwez bas wanalipwa nusu ya hela zao.....ni hvyo tu...hyo uliyoisema haipo...japo wanatoa kias kidogo bt mnyonge mnyongeni lakin......

ina maana freelencer asipofikisha acc 40 atalipwa 70000 si ndio
 
hizi kazi za kuzunguka mitaani jua kali.. kutafuta watu...na kuongea watu....unaweza kupigwa makofi....maana unakutana na watu wenye hasira kali njiani halafu unapewa bukuuuu
 
kazi ninayoifanya mimi nina uwezo wa kulipa bill zako zote kwa miaka mitatu mfululizo huku nikikusomesha uongeze kiwango chako cha elimu. Halafu, kipindi natafuta kazi sikuwa naomba kazi wanazoziomba watu wengi. Mtu anayeomba kazi zenye post nyingi sana huyo mtu hajiamini halafu pili hafam kuwa kazi zenye post nyingi mara nying mshahara wake ni mdogo. OGOPA SANA UKIONA KAZI IMETANGAZWA MOJA AU MBILI japo si zote za kuziogopa.
hakuna haja ya kumtisha kaka, nimependa post yake kwako nadhan alikua kiutani zaid.......hata hivyo ametoa ushauri mzuri tuu
 
Sasa team leader idad ya acc za nini tena, mim nilidhan team leader anakuwa kiongozi wa freelencers
 
naijua kazi ya ufreelencer ilivyo ngumu, sasa nyie mliomba bila kuijua kazi ilivyo. Kazi ya kumwimbisha mtu akubali..
 
Unajua watu humu mna piga kelele bure kwa TPB while its almost all the banks unapewa flat salary lakin unaongezeka kutokna na watu utakao leta barclays free lancer anapata 70000 per month na analipwa kwa commission on top of 70000 kma akileta mteja
 
Kuna kipindi nilileta uzi kuhusu majanga ya hyo kazi nikaishia kutukanwa
 
Back
Top Bottom