Tanzania Postal Bank (TPB) wanatoa commission tu

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Moja na watu waliyoitwa kwenye interview ya TPB na hatimae kupata nafasi ya kazi hapo kama Team Leader amedai kuwa wameambiwa kuwa ofisi haitakuwa ikiwalipa mshahara bali itakuwa ikiwapa commission kutokana na idadi ya wateja ambao watakuwa wakiwaleta katika bank yao.

Ambapo kwa kile mteja ambaye utakuwa ukimpeleka utakuwa ukipewa kamisheni ya sh. 1000/ elfu moja yaani BUKU.
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,970
2,000

Pole mkuu, ingawa umemsingizia mtu mwingine, lakini nakushauri vumilia hapo hapo pata uzoefu huku ukiwa unacheki na fursa zingine.
 
kazi ninayoifanya mimi nina uwezo wa kulipa bill zako zote kwa miaka mitatu mfululizo huku nikikusomesha uongeze kiwango chako cha elimu. Halafu, kipindi natafuta kazi sikuwa naomba kazi wanazoziomba watu wengi. Mtu anayeomba kazi zenye post nyingi sana huyo mtu hajiamini halafu pili hafam kuwa kazi zenye post nyingi mara nying mshahara wake ni mdogo. OGOPA SANA UKIONA KAZI IMETANGAZWA MOJA AU MBILI japo si zote za kuziogopa.
 
Gulaya

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
659
225

Mwambie huyo anafikiri wewe ndo unalipwa buku tanzania shilling
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,970
2,000
kazi ninayoifanya mimi nina uwezo wa kulipa bill zako zote kwa miaka mitatu mfululizo huku nikikusomesha uongeze kiwango chako cha elimu. Halafu, kipindi natafuta kazi sikuwa naomba kazi wanazoziomba watu wengi. Mtu anayeomba kazi zenye post nyingi sana huyo mtu hajiamini halafu pili hafam kuwa kazi zenye post nyingi mara nying mshahara wake ni mdogo. OGOPA SANA UKIONA KAZI IMETANGAZWA MOJA AU MBILI japo si zote za kuziogopa.
Stress mbaya sana.
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,657
2,000
Moja na watu waliyoitwa kwenye interview ya TPB na hatimae kupata nafasi ya kazi hapo kama Team Leader amedai kuwa wameambiwa kuwa ofisi haitakuwa ikiwalipa mshahara bali itakuwa ikiwapa commission kutokana na idadi ya wateja ambao watakuwa wakiwaleta katika bank yao.

Ambapo kwa kile mteja ambaye utakuwa ukimpeleka utakuwa ukipewa kamisheni ya sh. 1000/ elfu moja yaani BUKU.
waje kwangu ni waajili kwenye kilimo kwanza..
 
NetworkEngineer

JF-Expert Member
Jun 21, 2012
1,864
2,000
Duh hata ingekuwa buku tatu bado hailipi aisee nilituma apps message zikafeli kama malipo yenyewe ndio hayo hata sijutii..kutwa na jua kali unaweza jikuta umepata wateja watatu tu..
 
unywele

Member
May 8, 2014
51
0
Moja na watu waliyoitwa kwenye interview ya TPB na hatimae kupata nafasi ya kazi hapo kama Team Leader amedai kuwa wameambiwa kuwa ofisi haitakuwa ikiwalipa mshahara bali itakuwa ikiwapa commission kutokana na idadi ya wateja ambao watakuwa wakiwaleta katika bank yao.

Ambapo kwa kile mteja ambaye utakuwa ukimpeleka utakuwa ukipewa kamisheni ya sh. 1000/ elfu moja yaani BUKU.

Napingana kabisa na ww....mimi ni mmoja wa waliofanya interview ya freelancer kwa mkoa wa dar na kufanikiwa kupita na pia kwenda kwenye training ambapo mwishoni ndio viwango vya mshahara vilionyeshwa....ninachoweza sema ni ukwel usiofichika kuwa viwango vya utoaj pesa ni vidogo mnoo lakini si kwa kiwango ulichoweka ww...umeongeza chumvi mnoo...ukwel ni kwamba team leader anapewa laki 4 b4 tax deduction...hii ni constant endapo atafanikiwa kufungua acc 60 kwa mwez...akifungua extra acc which means kuanzia 41 and above, analipwa kwa kila acc inayozidi thus ile lak 4 inaongezeka....then hyo 1000 ni kwa kila quick acc itakayoongezeka ambapo hyo acc inafunguliwa na mteja kwa 2000, akifungua acc ya ef 5000 yy anapata ef 2000, na akifungua fixd acc yeye anapata ef 5, so team leader akikomaa kwa mwez anaondoka na zaid ya lak 4....
freelancer wao ndo majanga zaid coz constant kwa mwez ni lak na 40 b4 tax per mwez endapo atafikisha acc 40 na ile nyongeza ya account zinahesabiwa sawa na team leader mf ikizid fixd moja kweny zile 40 anapata kumi yake na inakuwa laki na nusu...kwa wote t.l na freelancer wasipofikisha acc zilizotakiwa yaan 60 na 40 kwa mwez bas wanalipwa nusu ya hela zao.....ni hvyo tu...hyo uliyoisema haipo...japo wanatoa kias kidogo bt mnyonge mnyongeni lakin......
 
unywele

Member
May 8, 2014
51
0
sor kwa kila fixd acc team leader na freelancer wanapata ef 10, pia tem leader ni 60 na commision inaanza kuhesabiwa kuanzia acc ya 61, same same kwa freelancer commision kuanzia acc ya 41....leo ndio ilikuwa deadline ya kurudisha mkataba wao...xjui watakuwa wamerudisha wangap kat ya wale 100 wa freelancer
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom