Nimetoka kupewa mkataba jioni hii ishu iko hivi unalipwa kulingana na account utakazofungua(commision) lakini mwisho wa mwez kuna bonus ambayo unaongezewa kulingana na idadi ya account ulizofungua viwango viko hvi:
Quick Account=1000 per account
minor account=2000 per acc
Wadu plus account=5000 per acc
fixed deposit= 10,000 per acc
Call account= 2000 per account
RENUMERATION
kama ukifungua
40+ acc=100,000
20-39 acc=50,000
1-19 acc=1,000
hvy mfano ukawa umefanikiwa kufungua account 40 kwa mwezi na ktk mchanganuo ufuatao, ni mfano tu
Quick account 15=15*1000=15000
wadu account 10=10*5000=50,000
minor account 10=10*2000=20000
fixed deposit 3=3*10,000=30,000
call account 2=2*2000=4000
hapo utapata 119000 kama commision, sasa kwa kuwa ulishafungua acc 40 utapata bonus ya 100,000 hivyo mwisho wa mwezi utapata 219,000/= na unaruhusiwa kufanya shughuli nyingine ilimradi uwe unatimiza mkataba, hvyo juhudi yako ndio itakupa pesa kubwa zaid mfano ukafanikiwa kufungua fixed deposit account 20 (20*10000) wadu acc 30(30*5000)ndani ya mwez hapo utapata laki 3 na nusu ukiongeza na 100,000 ya bonus, unapata laki 4 na nusu kwa mwezi huo.