Tanzania Postal Bank (TPB) wanatoa commission tu

duh ata me nilikua nataka kuapply ila nikaipga chni kumbe mambo yenyewe ndo ayo apana kwa kweli
 
Acc 40??? is that easyyy wakati bank nyingine target ni acc kumi tu per month ila kuzipata shughuli tena wanalipa kwa values not numbers

kaka hapa ukifungua acc 10 unaweza kujikuta unaondoka na 20,000 kwa mwezi labda hzo acc 10 ziwe fixed deposit acc ambapo utapata 10000 kwa kila acc, lakini ukwel ni kwamb fixed deposit acc ni ngumu kukutana na mtu njiani ukamshawish afungue fixed acc, so unaweza kujikuta mwez unaish hujafungua fixed acc hata moja.
 
Nitajaribu kuifanya, ka mji kenyewe kadogo na kuna mabenk kama crdb, nmb,na nbc yapo kitambo sasa sijui hizo acc 40 kila mwezi, nitafikisha kweli.. Jana tumefanyiwa semina na jamaa kutoka dsm, na asharud dsm sasa kuna watu kama 5 kati ya 10 wameconfirm hawatafanya kazi baada ya kutoridhishwa na malipo, sasa sijui hyo kazi ataifanya nani na ukizingatia mtoa semina asharud dsm,
 
Bora mie niliyetoa ajira kwa mtu wa marketing kwa 200k+lunch + 10% ya kila kazi anayoileta
 
Acc 40??? is that easyyy wakati bank nyingine target ni acc kumi tu per month ila kuzipata shughuli tena wanalipa kwa values not numbers

Umetumwa we we...sio mpiganaji mwenzetu kabisaa tumekushtukia. Tena mimi nakujua we we. Acha unafiki mambo hayako kulaisi hivyo mtaani. Asa ukizingatia bank yenyewe haijiuzi mtaani... waambie hao maboss wako Wa TPB waache usanii..kama wameamua kweli wanataka kumobilize customer base na kuikuza bank yao basi wajipange upya....ushauri wangu kwao wangefikilia kuanza kulipa tshs 600000 na team leader 750000 wangeona BIG RESULTS NOW
 
Mzee wanauliza maswali gani Kwa upande wa freelancer me wameniita IRINGA nataka nikafanye kazi za kuzunguka nilishazizoea
 
Mzee wanauliza maswali gani Kwa upande wa freelancer me wameniita IRINGA nataka nikafanye kazi za kuzunguka nilishazizoea

umezoea safi sana, je uko tayari kulipwa 140,000 or less hilo ni swali la kwanza, watakwambia ujielezee mwenyewe kwa ufupi, watakuuliza nin unaelewa maana ya freelencer, utauliza freelencer anatakiwa awepo wapi wakati wa kazi, mwisho watakuuliza mshahara unaotaka raha sana unajipangia tu, nataka laki 8
 
Umetumwa we we...sio mpiganaji mwenzetu kabisaa tumekushtukia. Tena mimi nakujua we we. Acha unafiki mambo hayako kulaisi hivyo mtaani. Asa ukizingatia bank yenyewe haijiuzi mtaani... waambie hao maboss wako Wa TPB waache usanii..kama wameamua kweli wanataka kumobilize customer base na kuikuza bank yao basi wajipange upya....ushauri wangu kwao wangefikilia kuanza kulipa tshs 600000 na team leader 750000 wangeona BIG RESULTS NOW

Kama unanijua how sure kuwa nipo tpb... alafu nani kakudanganya mshahara ndo unaleta morali... watu wanamorali ya kazi hata kwa mshahara wa elfu hamsini
 
Account 40 kwa mwezi chache sana,that means kwa siku ni account 2,kupata wateja wa2 kwa siku hauwezi? Fanyeni kazi vijana kama hamuwezi nipeni dili hilo mie nipige nimechoka kukaa huko umenyeni nataka nije town kuchakalika.
 
Kama unanijua how sure kuwa nipo tpb... alafu nani kakudanganya mshahara ndo unaleta morali... watu wanamorali ya kazi hata kwa mshahara wa elfu hamsini

Yaaani we we unatufanya sisi watoooooto...dunia ya Leo pesa ni sabuni ya roho jombaaa, ndio maana watu kwenye matangazo ya tigo wako radhi washinde juani Siku nzima wamebeba mabango kisa pesa....nawakiendelea na vijicenti vyao hivyo watu watakwenda tu pale kuchua ata ni shs 40 then akirudi home anaenda kulala zake...waambie hao maboss wako waongeze pesa haraka saaaaaana.
 
Account 40 kwa mwezi chache sana,that means kwa siku ni account 2,kupata wateja wa2 kwa siku hauwezi? Fanyeni kazi vijana kama hamuwezi nipeni dili hilo mie nipige nimechoka kukaa huko umenyeni nataka nije town kuchakalika.

account moja unalipwa buku, ukifungua acc 2 una buku mbili.
 
sor kwa kila fixd acc team leader na freelancer wanapata ef 10, pia tem leader ni 60 na commision inaanza kuhesabiwa kuanzia acc ya 61, same same kwa freelancer commision kuanzia acc ya 41....leo ndio ilikuwa deadline ya kurudisha mkataba wao...xjui watakuwa wamerudisha wangap kat ya wale 100 wa freelancer
. Hebu tupia huo mkataba wao tuusome mkuu tafadhali
 
mi ndo waliniambia niende iringa kufanya huo usaili wa freelance sasa salary ndo hiyo bora mm niligoma hata kwenda huko ktk usail mana nauli + guest house+ msosi inakuwa juu ya salary kwa mwez sasa km serikali taasisi zake ndio wanafanya hivyo huko private c ndo wanauuwa kabisa BORA UWE MFUGO ULAYA KULIKO BINADAM HAPA BONGO
 
umezoea safi sana, je uko tayari kulipwa 140,000 or less hilo ni swali la kwanza, watakwambia ujielezee mwenyewe kwa ufupi, watakuuliza nin unaelewa maana ya freelencer, utauliza freelencer anatakiwa awepo wapi wakati wa kazi, mwisho watakuuliza mshahara unaotaka raha sana unajipangia tu, nataka laki 8

OK nashukuru sana huo mshahara me unanitosha
 
. Hebu tupia huo mkataba wao tuusome mkuu tafadhali

Mkataba uko kwenye hard copy na ni page 8...so sijui niuekeje hapa sasa....bt labda nijaribu kupiga picha sehemu tu za mkataba huo then nieke hapa...ila hazitokuwa na quality nzur...
 
Mkataba uko kwenye hard copy na ni page 8...so sijui niuekeje hapa sasa....bt labda nijaribu kupiga picha sehemu tu za mkataba huo then nieke hapa...ila hazitokuwa na quality nzur...

mkuu ile page ya 7 ya commision nimerudia rudia kuisoma naona sielewi chochote, naomba unifafanulie kwa kirefu
 
Back
Top Bottom