Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
nimepitia hiyo website! Mod hebu iatache kwenye thread. Watajibeba Magamba hawa
 
ritz,
major share holders wa barrick ni bush na familia yake. Hata kama kampuni ya canadian, major share holder ni marekani.

Not true Bush family has no any relationship with Barrick gold; he might

know the owner but no part

of owning the company... Prove me wrong!!!
 
zanzibar imevunja sheria zipi za kimataifa?

leteni hiyo sheria iliyovunjwa tafadhali

Z'bar nayo ni nchi? sheria ipi ya kimataifa iliyo kidhi huo ubazazi waliofanya? wakati hata umoja wa Mataifa wao sio wanachama?
 
Irrelevant country always led by irrelevant president,oh my God why Tanzania! We have so many resource which shall increase of income but we gave it to the foreigner We have arable land for agriculture,but what we did is an art and gave it to the destroyer for destructing our environments What the hell with kind of president we have. God is able,please give us strength to understand ourselves and standing for our own feet .
 
Haya ndio matunda ya kuwa Omba Omba.... Lazima tuwe na mtazamo tofauti na taifa letu. Check tunavyodharauliwa, Ranking officer writing to the President of United Republic of Tanzania? I was expecting President Barack Obama and not otherwise... :shetani:

Mkubwa Keonard, hapo kwenye nyekundu..,unajua hata utumwa upo utumwa wa kutumwa na utumwa wa kujituma,sasa kama tunashindwa kutulia nyumbani kupanga mikakati na kusimamia maendeleo,kila siku kiguu na njia kupiga mitaa majumbani kwa watu ili 'eti wakufahamu ili iwe rahisi kukusaidia' si jambo la utumwa wa kujituma hilo? U-omba Omba wetu tumeuendekeza wenyewe kwa kuweka akili zetu pembeni na kuishi kama misukule!
 
Wakuu mambo yanasonga mbele. Mkulu kakaliwa kooni, naona safari za USA zinaota majani. Tumechoka na kodi zetu kutumiwa vibaya, hawakujua JK ni ndumilakuwili? Hataki DIASPORA wale huku na kule wakati yeye anakula na Iran na wamarekani? Tuone sasa nani mwenye nguvu, JK na mafisadi wake au wamarekani.... matonya sijui unanipta na bakuli lako?

********************************************

Dear President Kikwete,
I am writing to express my deep dismay that Tanzania has permitted the National Iranian Tanker Company (NITC), to reflag at least 6 and as many as 10 of its vessels under the Tanzanian ship registry, allowing them to remain under NITC ownership and continuing to transport Iran’s crude oil exports. This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research programs and its support for international terrorism.

It is profoundly disappointing to me to learn that your government has acted in contravention of the broad international coalition that is working together to use peaceful means, including economic sanctions, to change the threatening behavior of the Iranian regime. The decision to accept the re-flagging of NITC vessels casts a shadow over Tanzania’s international reputation.

I respectfully request that Tanzania cancel the re-flagging of the NITC vessels. Given the close and cooperative relationship that our two governments now enjoy, it would be unfortunate if this action were permitted to stand.

It would be preferable that Tanzania take this action of its own accord. However, your government should take note of President Obama’s Executive Order 13608, signed May 1, 2012, which provides for the imposition of sanctions on any entity worldwide, including foreign governments, that assists Iran in evading U.S. sanctions. In my view, reflagging Iranian oil tankers falls within the scope of sanctionable activity under that Executive Order. In addition, if Tanzania were to allow Iranian vessels to remain under Tanzanian registry, we in the Congress would have no choice but to consider whether to continue the range of bi-lateral U.S. programs with Tanzania.

Sincerely,

Howard Berman
Ranking Democrat, House Foreign Affairs Committee

Source
House Foreign Affairs Committee Democrats- Ranking Member Howard Berman




huyo jamaa aliyeandika ni nani?:israel:
 
Irrelevant country always led by irrelevant president,oh my God why Tanzania! We have so many resource which shall increase our income but we gave it to the foreigner We have arable land for agriculture,but what we did is an art and gave it to the destroyer for destructing our environments What the hell with kind of president we have. God is able,please give us strength to stand for our own feet.
 
Do you remember Iran Contra! Do as we tell you but not as we do:-( . Unfortunate American Senators smoke Cuban cigars! but they reserve that luxury oinly to themselves! Wewe mwingine jaribu ukione!
 
Kweli kazi ipo tusipokuwa makini wanaweza kutuuza hata sisi hawa viongozi dhaifu wenye muono dhaifu na mawazo dhaifu
 
Napiga picha Mkulu alipofungua bahasha ya hio barua, alijisikieje? nadhani alimwita Membe amsomee...anyway najua lazima itakuwa inapanda na kushuka, anatamani kumeza na kutema
 
Raisi dhaifu,serikali dhaifu,afya dhaifu,akili dhaifu,jk mwenyewe alishakiri kwenye mikutano ya kampeni kuwa bila yeye kuzunguka duniani na bakuli kuomba misaada tutakufa njaa na mchangiaji wake mkubwa ni USA leo wamemgeuka na baadhi ya magamba humu jf wanasema ati marekani wasituchagulie marafiki mara ooooh huo ni ukoloni mambo leo,toka lini mliacha kumtegemea mmarekani???bongo lala ndio maana mnaambiwa hamana akili mnafikiri kwa kutumia masaburi.mwambieni jk kama ana ubavu atie mguu katika hili.imbombo alinajo.
 
Tunapomwambia kaa chini tumia wataalamu wetu kwenye kuongeza pato la taifa,tunapomwambia acha kuuza madini yetu kwa bei za kutupwa,tunapomwambia pandisha kodi za madini huwa hasikii ,ona sasa anavyodharauliwa our head of state anaandikwa barua ya onyo kali na ofisa katika wizara na si Secretary of State kwa mfano Hilary Clinton,ghiriba zake za kutaka huku na huku zitamtokea puani
Hapo kwenye nyekundu umekurupuka bila kuwa na data kamili.
Howard Berman ni Member of the U.S House of the Representatives from California 28th district. Na pia alishawahi kuwa Mwenyekiti wa House Commitee on Foreign Affairs. Huyu mtu sio Ofisa katika Wizara. Ni mtu Mwenye mamlaka makubwa ya kuandika barua Kama hiyo kwa Bw. Matonya. Ujue mfumo wa siasa wa Marekani kwanza,ndio uandike mada kuhusiana na mambo ya kisiasa ya huko,la sivyo tuhangaike na Nepi sijui Nape hapa Tanzania.

No research No rights to Speak. Umeshapotosha Umma hapo. Rekebisha kauli yako tafadhali.
 
Hakuna specific mkataba unaokataza nchi nyingine kufanya kazi na Iran?? Maazimio ya Baraza la Usalama la UN na sisi ni wanachama linapitisha hizo sanctions na ndani kuna vipengele vinavyoeleza kwa kina nchi ambazo zitaisadia nchi yenye vikwazo kukwepa zitafanywa vipi...Tanzania bado sana kutunisha msuli kwa nchi za Magharibi especially US, fuatilia historia kidogo angalia sanctions zilivyoifanya Iraq na hapa barani kwetu Zimbabwe. Tungetumia rasimali zetu kuwa strong kama madini kiburi kidogo kingewezekana sasa tunategemea World Bank na projects za Westerners kwa asilimia 70% tutafika kweli kama ni kujitenga
 
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimbaWw ni kati ya Ma.J.Uha. ambayo kila cku tukikosoa Mambo anayofanya Mdingi wako unacrash, wameuza migodi, anatuibia via IPTL daily millions, Dowans, na mengine kibao achilia mbali safari zinazomuumbua leo, Bado unamwona cake sasa kauza nembo Bado unamtetea Duh bichwa gumu kuliko nazi. Wanawaua akina Ulimboka wanakuacha ww!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom