Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
Ritz +Rejao ingieni hapa.. Hii c issue ya CDM..
Hii nchi iko Black & White.. Uliyetia sign na mikataba mibovu inakula kwenu..
 
Kumbe huyu mcheza ngoma kawapa nembo yetu wa irani inasikitisha sana ila kwa agizo la wanaomfadhili atafyata mkia penda usipende, get well soon ulimboka

Mi nadhani haya ni matokeo ya muungano wa ajabuajabu, yaani upande mmoja wa muungano unaserikali kamili ambayo haaingiliwi mambo yake na upande mwingine, Huku kwetu ndio wanajifanya serikali ya wote. Wanasheria wetu na wanasiasa wenye akili zao wamepiga kelele sana karibia miaka 15 sasa kuhusu kuupitia upya na kuuboresha muungano, ya kwamba iwe serikali 1 au 3, lakini baadhi ya viongozi wanaofaidika na ujuha huu wanazima hoja. Sasa katika hili nadhani watafikiria vizuri. Maana Zanzibar watatetea hoja yao iliopelekea kusajili hizo meli. Na hali ilivotete kwa sasa watangángánia kweli kutokuvunja makubaliano yao na Iran kwa kisingizio wako huru kuamua mambo yao.
 
Hivi mtaendelea kuchaguliwa marafiki mpaka lini?

Tanzania inaangalia self interest kama nchi yoyote ile duniani

Hebu niambieni serikali ya Tanzania imevunja sheria zipi za kimataifa ku deal na Iran?

Nipeni namba ya huo mkataba wa kimataifa unaokataza nchi zingine zisideal na Iran

Dibagula,
Ukiwa omba omba kwa sababu unadhani kuwa ni fashion, ndio unafikia kuamuliwa hata muda gani ulale na uamke. Sasa serikali yako ya CCM ndio imetufikisha hapa! Kwa hiyo lalamika lakini utawasikia mawaziri na viongozi wako wakiomba msamaha, hilo ni lazima wafanye!!!
 
kama ni kweli hii barua imeandikwa basi ni barua kali sana..hofu yangu ni kama JK anaelewa kiingereza kilichoandikwa humo....hii ni dalili kubwa ya kuwa na rais dhaifu....
 
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.

Ndio maana huwa naipenda JF! ni mahala pa kujifunzia, haya mkuu ni kampuni gani hiyo ya Marekani iliyoingia mikataba ya kuchimba kwa 99 years!
 
Hii kama umeitengeneza mwenyewe! Inamapungufu mengi mojawapo haina SIGNATURE ya huyo HOWARD BERMAN
.
Mtumpole
barua_JK_1.jpg






barua_JK_2.jpg




barua_JK_3.jpg

Kigogo kula kwa tindo Murrahuhuru1 MarksmanNDEVU SI MZIGOKiganyidknPower GSubiriJibuIron LadyNdahanikula kwa tindo. .

Mimi huwa sipendi watu wanaodanganya watu hapa JF na kupindisha ukweli ... that's why ikibidi unaleta doc katika uhalisi

Mtumpole kataa na hii basi!

.
 
Kitu kinachonishangaza ni Zanzibar ina Bendera ya Taifa lake; Kwanini hawakuitumia hiyo Bendera ya Taifa lao?

Wakatumia Bendera ya Tanzania? sasa kwanini Umuhimu wa kudai Bendera yao?

Sanctions, Sijui hao ndugu zetu wa Uamsho watakimbilia Oman, na kuwaacha Wanzibari tupu
na kukabiliana na Sanction, sababu nia yao ni kuharibu nchi sio kujenga nchi.

Kwetu sisi bara, hapo ndio tutaona Matunda ya kuwatukuza Mafisadi Uzuri ni fedha zao zote zitashikiliwa huko kwenye mabenki ya nje wataumia kama sisi, Hakuna Riz1 kumiliki
hiki wala kile, maumivu wote tutayapata pamoja.


_40714247_newflagafp203bok.jpg

Hivi wewe umesoma shule? Sasa zanzibar itumie bendera yake kwani hizo boti zimesajiliwa wapi? Hakuna mzanzibari aliehusika hapo, ni nyinyi wenyewe kwa wenyewe, limewashinda saivi ndo mnataka kuitumbukiza zanzibar katika ilo janga?

Kama ulivosema hawa akina zanzibar wanaweza kupata msaada kwa hao waarabu, je sanctions zikiwekwa on tanzania mtapata wapi misaada, maana mabwana zenu ndio full mikwala iyo!
 
Hivi mtaendelea kuchaguliwa marafiki mpaka lini?

Tanzania inaangalia self interest kama nchi yoyote ile duniani

Hebu niambieni serikali ya Tanzania imevunja sheria zipi za kimataifa ku deal na Iran?

Nipeni namba ya huo mkataba wa kimataifa unaokataza nchi zingine zisideal na Iran

Mimi huwa nawashangaa sana hawa watu.

Kila nchi inaweza ikachagua rafiki amtakae according to national intrests. Haya mambo ya ubeberu yanakwisha tena, mbona hakumuekea sanctions Russia anaemsaidia na kumpelekea silaha Syria?.
 
Usije kushangaa kukuta barua hii itawekwa katika fail la 'Top secret' wakati maniga wameimwaga ktk 'top page' ya website yao
 
Safi sana wanatakiwa kumpiga marufuku nchi zote
 
ataenda kupiga magoti pale Oval office kwa Obama.
 
Kweli ukikubali kuolewa lazima ukubali kulala bila kuvaa kufuli
 
Hivi wewe umesoma shule? Sasa zanzibar itumie bendera yake kwani hizo boti zimesajiliwa wapi? Hakuna mzanzibari aliehusika hapo, ni nyinyi wenyewe kwa wenyewe, limewashinda saivi ndo mnataka kuitumbukiza zanzibar katika ilo janga?

Kama ulivosema hawa akina zanzibar wanaweza kupata msaada kwa hao waarabu, je sanctions zikiwekwa on tanzania mtapata wapi misaada, maana mabwana zenu ndio full mikwala iyo!


[h=2]Soma hapo Chini acha matusi; kwanini Mna Chuki kiasi hicho hamna roho nzuri hata kidogo

The Zanzibar government yesterday defended its move to register Iranian oil tankers
[/h]
The Zanzibar government yesterday defended its move to register Iranian oil tankers, saying it didn’t break any laws as claimed by a section of the international media early this week. Zanzibar Infrastructure and Communication minister Hamad Masoud Hamad refuted reports that the Isles government had registered Iranian oil tankers as reported by Bloomberg News Agency early this week. The minister admitted however that the said Iranian oil tankers were previously registered in Cyprus and Malta islands. Briefing the House of Representatives yesterday, Hamad said the registered oil tankers were not covered by international sanctions imposed on Iranian ships by the European Union and the United States. The minister stated that according to the Zanzibar Marine Transport AuthorityAct, number 3 of 2009, and the Zanzibar Marine Transport Act of 2006, the Isles government had full autonomy to register international ships. According to the minister, Zanzibar entered into an agreement with a Dubai-based company, Philtex Ltd, to act as its agent in the registration of all international ships, known in the shipping industry as ‘open registry’. The minister added that open registry had been in effect since 2009, whereby a number of international cargo ships, oil tankers and passenger vessels were registered in Zanzibar. Contrary to the media reports, the minister said, the vessels claimed to belong to Iranian authorities were in fact owned by British nationals living in the Virgin Islands and the Seychelles. The minister warned against interference by the union government in the matter as promised by his counterpart, Dr Harrison Mwakyembe, saying marine transport in Zanzibar wasn’t a union affair. Citing relations between Iran and Zanzibar, the minister said the two countries had strong ties, adding that that was why Iran’s vice-president recently visited the Indian Ocean archipelago to discuss how to strengthen the relations. He warned that Zanzibar wasn’t ready to be dragged into the ongoing conflicts between Iran and Western countries. Speaking about the Iranian tanker flying the Tanzanian flag, the minister said since Zanzibar was part of the union, there was nothing wrong for vessels registered in the Isles to fly the union flag. “But if the Tanzanian government won’t feel comfortable with the tankers flying the union flag we are ready to let them fly the Zanzibar flag. This is no big deal and it should not be blown out of proportion,” the minister said. On Monday, Bloomberg News Agency reported that NITC, an oil-tanker company owned by Iranian pension funds, renamed at least 10 of its vessels and switched them to flying the Tanzanian flag amid increasing curbs on transactions with the Persian Gulf nation. NITC renamed five large crude oil carriers, each with a capacity to hold about 2 million barrels of oil, and five Suezmaxes, hauling 1 million barrels each, according to the Equasis shipping database maintained by the European Commission, Bloomberg reported. Ownership was switched from NITC to new companies operating from the same address in Tehran and NITC remains the operator, the data show. All the ships were previously registered in Malta or Cyprus. A European embargo on Iranian crude exports, which comes into effect on July 1, extends to insuring vessels that carry oil. Twenty-five NITC tankers are being used to store crude, the Paris-based International Energy Agency said on June 13, this year. The US and Europe said Iran’s nuclear programme was aimed at developing atomic weapons while the government in Tehran says it is for civilian purposes. Habibolah Seyedan, NITC’s commercial director, was unavailable for comment, said a person who answered a call to his office yesterday. The company lists 39 tankers on its website. Philtex Corp. operates the administrative office of the Tanzania Zanzibar International Register of Shipping from Dubai, according to the register’s website. SOURCE: THE GUARDIAN
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom