Hapo kwenye nyekundu umekurupuka bila kuwa na data kamili.
Howard Berman ni Member of the U.S House of the Representatives from California 28th district. Na pia alishawahi kuwa Mwenyekiti wa House Commitee on Foreign Affairs. Huyu mtu sio Ofisa katika Wizara. Ni mtu Mwenye mamlaka makubwa ya kuandika barua Kama hiyo kwa Bw. Matonya. Ujue mfumo wa siasa wa Marekani kwanza,ndio uandike mada kuhusiana na mambo ya kisiasa ya huko,la sivyo tuhangaike na Nepi sijui Nape hapa Tanzania.
No research No rights to Speak. Umeshapotosha Umma hapo. Rekebisha kauli yako tafadhali.