Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
Please smone assure me if the The Tanzanian President knows exactly what he is doing ... !
nngu007,
Mzee Bush ni major shareholder katika kampuni ya Barrick. Na kupitia kwake ndivyo Sinclair alivyofanikiwa kuwakutanisha Bush mdogo na Kikwete katika ziara ya pili ya Kikwete hapa Marekani. He owns shares in the company.
George Bush Sr has a stake in Barrick Gold. It goes way back to Nevada mines with Adnan Kashoggi (Barrick Gold Founder). Mambo ya dunia hii ni zaidi ya ujuavyo..mpaka uunganishe Dots ndio utapata picha kamili. Bush family wana utajiri mkubwa sana ..baadhi ya utajiri wao unatoka kwenye migodi yetu. Kwa hiyo usishangae kwa nini mkulu anapenda sana kwenda Marekani.
Ni kuvunja muungano tu ndo soln. Kumbe sio kikwete ni serikali ya mapinduzi. Ndio juzijuzi nilisikia kuna baraza la usalama, mie nilifikiri ni kwa sababu ya Dr Uli, kumbe ni hili sakata.
Bravo USA-JK asituletee matatizo TZ imesaini mkataba wa kupambana na magaidi kwa nini magaidi watumie bendera yetu nasi tutaonekana tuna-support ugaidi,I support US.
Na wewe umekurupuka bila hata kujitawaza. Point yangu ilikuwa Huyo Berman sio Ofisa wa Wizara Kama alivyoandika jamaa niliyemquote.this shows how much insane you are. huyo jamaa ni member wa bunge dogo la marekani na hata siyo senator halafu anamwandikia barua raisi wa nchi anamchimba mkwala na bado unaona ni vyema tu hivi hapa Tanzania mbunge wa Tz anaweza hata kuonana na obama achana tu na kumwandikia barua.
kubali ukatae Raisi wenu anadharaulika sana pamoja ni kujikomba sana kwa hao wazungu(mzungu worshiper) lakini bado anadharaulika sana
Hayo ndiyo malupulupu ya kutegemea nguvu za majini kutawala nchi!! Hana ulinzi tena! Yale majini yake Sheikh Yayha alishuka nayo kuzimu!!Duh... ama serikali hii kweli sasa imechanganyikiwa ile mbaya... madudu kila sehemu, nje, ndani, kushoto, kulia, juu, chini. Kwa nini lakini?
Inadaiwa hizi meli zilisajiliwa Zanzibar maana Znz inaruhusu reflaging ya meli za nje. Hii implication zake kama SMZ ikikataa kuzitoa hizo meli kwenye usajili ni kubwa. Maana ukiangalia sisi serikali yetu ni tegemezi sana na hata kama tusingekuwa tegemezi hii dunia ecosystem yake inategemea sana USA na Ulaya, mfano angalia hao Iran wanavyohaha sasa kutafuta mtu wa kuweka bendera kwenye meli zao.
Nafikiri muda huu tunaoongea simu ziko busy kati ya JK, Karume na mawaziri wao wa transport pamoja na wakala husika, hili si jambo dogo, kasheshe hapo...
I am writing to express my deep dismay that Tanzania..... has permitted the National Iranian Tanker Company (NITC), to reflag at least 6 and as many as 10 of its vessels under the Tanzanian ship registry,
This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research programs and its support for international terrorism.
It is profoundly disappointing to me to learn that your government has acted in contravention of the broad international coalition that is working together to use peaceful means, including economic sanctions, to change the threatening behavior of the Iranian regime.
It would be preferable that Tanzania take this action of its own accord.
...In my view, reflagging Iranian oil tankers falls within the scope of sanctionable activity under that Executive Order.
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.
Ndiyo zao hizo Magamba DHAIFU wanapokuwa hawana hoja basi wanatumia ubabe kufukuza watu bungeni, lakini kiama chao hakiko mbali. Miaka michache ijayo watasambaratishwa kama alivyowahi kutabiri Mwalimu.
Nasikia smz wamegoma kufuta hizo meli, wazanzibari washikilie msimamo huo huo, wapeperushe meli za washiraz kwa bendera ya Tz. Ili kikwete atambue kwanini tunamwambia avunje muungano.