Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.
Ritz,
Umalaya wenu ndio umetufikisha hapo. Kila siku Kikwete kiguu Washington kujipendekeza kwa Wamarekani. Wikileaks imeonyesha jinsi yeye na Kapuya walivyotoa siri za jeshi letu kwa balozi wa Marekani. Sasa umalaya wenu unawatokea puani ndipo unaanza kukumbuka kwamba Marekani wasiwapangie marafiki. What chutzpah! Na kuhusu migodi ni huyo huyo kilaza Kikwete aliyempa Sinclair leseni zote za madini Tanzania.
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.
Swala siyo kupangiwa marafiki, bali ni maamuzi ya kijinga ambayo serikali yetu inafanya kila siku bila hata kulishilikisha bunge. Watueleze basi faida tutakayopata kwa kuwaruhusu kusajili meli zao kwetu, ili tunaposema Marekani wasituchagulie marafiki tuwe tunasema tukijua faida tunayopata kwa kuanzisha bifu na Marekani.
By the way unasema swala la migodi tumekaa kimya, uko Tanzania hii kweli, kelele zinazopigwa kila siku kuhusu swala la migodi huzisikii? Ni hili hili swala la maamuzi ja kijinga na yanayoangalia ubinafsi zaidi ndo linalotawala migodi.
Washington, DC – Congressman Howard L. Berman, the top Democrat on the House Foreign Affairs Committee, today called on the Tanzanian President to cancel the reflagging of Iranian vessels following reports that the National Iranian Tanker Company (NITC) vessels are being reflagged under his nation's flag.
Berman added that US assistance to Tanzania would be in jeopardy if these actions persisted.
In the letter, Rep. Berman writes, "It is profoundly disappointing to me to learn that your government has acted in contravention of the broad international coalition that is working together to use peaceful means, including economic sanctions, to change the threatening behavior of the Iranian regime. The decision to accept the re-flagging of NITC vessels casts a shadow over Tanzania's international reputation."
Rep. Berman has been a champion of Iran sanctions in Congress, building broad coalitions in support of ending Iran's nuclear weapons program. In January, Rep. Berman, joined by Senator Menendez (D-New Jersey) introduced stiffer sancrions aimed at the NITC and the National Iranian Oil Company (NIOC) if they are determined to be affiliated with Iran's Islamic Revolutionary Guard Corps. The sanctions would penalize foreign financial institutions that facilitate financial transactions involving NITC or NIOC.
I am writing to express my deep dismay that Tanzania has permitted the National Iranian Tanker Company (NITC), to reflag at least 6 and as many as 10 of its vessels under the Tanzanian ship registry, allowing them to remain under NITC ownership and continuing to transport Iran's crude oil exports. This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research programs and its support for international terrorism.
It is profoundly disappointing to me to learn that your government has acted in contravention of the broad international coalition that is working together to use peaceful means, including economic sanctions, to change the threatening behavior of the Iranian regime. The decision to accept the re-flagging of NITC vessels casts a shadow over Tanzania's international reputation.
I respectfully request that Tanzania cancel the re-flagging of the NITC vessels. Given the close and cooperative relationship that our two governments now enjoy, it would be unfortunate if this action were permitted to stand.
It would be preferable that Tanzania take this action of its own accord. However, your government should take note of President Obama's Executive Order 13608, signed May 1, 2012, which provides for the imposition of sanctions on any entity worldwide, including foreign governments, that assists Iran in evading U.S. sanctions. In my view, reflagging Iranian oil tankers falls within the scope of sanctionable activity under that Executive Order. In addition, if Tanzania were to allow Iranian vessels to remain under Tanzanian registry, we in the Congress would have no choice but to consider whether to continue the range of bi-lateral U.S. programs with Tanzania.
Sincerely,
Howard Berman
Ranking Democrat, House Foreign Affairs Committee
Hapa kuna kitu, ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu. Aliyosema Mnyika kwamba Kikwete ni dhaifu yanazidi kujidhihirisha, na ukweli ndio huu. Bora kwa akili ya kawaida angeshirikiana na nchi kama Kuwait, Saud Arabia, lakini kujihusisha na kufunga bendera kwenye vyombo vya nchi ambayo imewekewa shinikizo kimataifa huu ni udhaifu wa hali ya juu mno.
Ritz, Umalaya wenu ndio umetufikisha hapo. Kila siku Kikwete kiguu Washington kujipendekeza kwa Wamarekani. Wikileaks imeonyesha jinsi yeye na Kapuya walivyotoa siri za jeshi letu kwa balozi wa Marekani. Sasa umalaya wenu unawatokea puani ndipo unaanza kukumbuka kwamba Marekani wasiwapangie marafiki. What chutzpah! Na kuhusu migodi ni huyo huyo kilaza Kikwete aliyempa Sinclair leseni zote za madini Tanzania.
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.
Kwangu mi hii habari imenisikitisha, najua rais wangu ana udhaifu lakini inaniumiza kuona anaonywa kiukali hivi ni kama anadharaulika flan, lkn on the other hand ameyatafuta haya yote
Hivi wewe umesoma shule? Sasa zanzibar itumie bendera yake kwani hizo boti zimesajiliwa wapi? Hakuna mzanzibari aliehusika hapo, ni nyinyi wenyewe kwa wenyewe, limewashinda saivi ndo mnataka kuitumbukiza zanzibar katika ilo janga?
Kama ulivosema hawa akina zanzibar wanaweza kupata msaada kwa hao waarabu, je sanctions zikiwekwa on tanzania mtapata wapi misaada, maana mabwana zenu ndio full mikwala iyo!
Na hii barua chini ni kutoka Baraza la Wawakilishi huko huko Zanzibar; Sijui Nani kasoma Shule Sasa???
Nimekutumia hakiki Mbili kuwa ni Serikali tukufu ya Zanzibar ndio iliyoidhinisha hizo meli kuwa na bendera ya Tanzania
Je? Utanijibu? Tafadhali usikae kimya nipe Jibu kuwa niko kweli au ni Muongo - kwasababu sijakwenda shule
Wakati mataifa ya Magharibi yanatishia kuiwekea vikwazo Tanzania kwa kuruhusu usajili ya meli za mafuta za Iran na kutumia bendera ya Taifa, baraza la wawakishi Zanzibar, limesema Zanzibar kama sehemu ya Muungano wa haki ya kusajili meli ya Iran au nchi yoyote ile kwa maslahi ya Wazanzibar na kuwa taarifa na kelele zinazoendelea ni njia ya kutaka kuwakatika tamaa Wazanzibar kujiletea maendeleo.
Yasije tukuta jamani,marekani ndio kilakitu kataa kubali,kama neti tu mpaka marekani,tangazo dogo tu kwa hisani ya marekani,ukichukiwa na marekani hakuna atakae kupenda,kubali kataa marekani ndio boss
using common sense siyo swala la waarabu or wazungu , ukipima faida na hasara kwa nchi ambayo tunasaidiwa sana kwenye bajeti kila mwaka ,madawati, vitabu, mpaka vyandarau and bila kusahau mpango Bush aliotia saini wa millennium Challenge Challenge and mabillion ya shillingi ambayo tunaomba kila mwaka from EU and USA haitaji kuwa genius kujua we can afford to lose United states and countries from the EU. ukiangalia IRAN wanajaribu kutusaidia kwenye kilimo, elimu na kuwapeleka watoto wetu kwenye mashindano ya kusoma Quran takatifu but you cant compare what the western countries are giving this countries every year
ata kama TUNAWEZA kujitegemea (in which we can't) sanctions usually bring problems even to countries which are economic dependent sembuse Tanzania ambapo madaktari na walimu wanatushinda. najua kuna watu wa kubisha as COMMON SENSE IS NOT VERY COMMON THESE DAYS. we dont have any choice as a country zaidi ya kukubaliana nao na kufuta vibali
Lakini ilisaini mikataba ya kimataifa na kukubali kwamba itafuata sheria na taratibu zilizowekwa na UN. Kwa kufanya haya iliyofanya si kwamba imeonyesha kutofungamana na upande wowote bali imeusaliti mkataba iliousaini. Na kwa kufanya hivyo itapaswa kuadhibiwa kwa mjibu wa sheria. Sema ambacho huwa kinanikera mimi, ni kile kitendo cha nchi nzima kuwekewa vikwazo. Lingekuwa jambo jema kama angekuwa anawekewa vikwazo Rais peke yake. Maana ujinga wake utaligharimu taifa zima.
Wakati mnapitisha bakuli lenu kuomba omba kama mbwa koko, hamkujua kuwa mnauza uhuru na heshima yenu? Eti isiyofungamana na upande wowote my ass!! 70% ya budget inategemea msaada?? Sasa akalambe miguu wapi sijui, Iran or US?
Ama kweli aljununu fununu! nani kamwambia hilo bakuli letu hiyo 70% yote inatoka marekani ..! tanzania ina nchi marafiki kibao tu! na wengine tuna historia nao ndefu kuliko hawa wamarekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.