Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
Haiwezekani bwana...kila mwezi lazima twende kusalimia. Rafiki atatubana vipi, lol!
 
Is that what you think? You may be living in the past..

not what aim thinking .. hii ni FACT! ... hawa wazungu wasitubabaishe ! kesho wataleta mambo ya kuhalalisha ndoa za mashoga ! still utakuja kunambia aim living in the past
 
Duh... ama serikali hii kweli sasa imechanganyikiwa ile mbaya... madudu kila sehemu, nje, ndani, kushoto, kulia, juu, chini. Kwa nini lakini?
 
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.
 
........we would have no choice but whether to consider continue the range of Bi-lateral US programs with Tanzania. ... Kwendeni huko hivi symbioni, kigamboni, utafiti wa uranium, kampuni za madini nk mnadhani mtaziacha? Hiyo ni tishia nyau tu! Sema tu viongozi wetu ni dhaifu ndo maana wanadhani kwenye hizo bi-lateral programs tunafaidi kumbe ukweli US ndo wanafaidika mara elfu miamoja zaidi she*ztype
 
Achana nao hao USA kama unaweza. Unadhani na wao ni kama CHADEMA ambao wakisusa vikao vya bunge nyinyi mnaendelea na kupiga kura kwa kelele nyingi "ndiyoooooo".

ninyi ndio watu mnaona wazungu ni mungu watu! trust me! they need us as much as we need them! hatulijui tu hilo ...! nchi yetu hajafungamana na upande wowote! we have gas , uranium ambayo nasikia imegunduliwa .. hawana uwezo wa kusitisha mahusiano wakijua bado tuna uhusiano mzuri na china na russia .. venezuela .. iran... cuba ...


 
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.

Tutajie kampuni ya Marekani inayomiliki mgodi wa madini hapa.
 
Duh... ama serikali hii kweli sasa imechanganyikiwa ile mbaya... madudu kila sehemu, nje, ndani, kushoto, kulia, juu, chini. Kwa nini lakini?

Na sasa hivi yule waziri wetu..Bernardo atakuja na statement huku mapovu yakimtoka mdomoni kuwashambulia Wamarekani. Yetu macho. Ni tamthilia mwanana inayoendelea chini ya awamu ya dogo.
 
Mhh.. kazi kweli kweli. Hapo kwenye red -- itabidi serikali ya Iran kwanza iziondoe pesa zao za hongo walizowawekea vigogo wa serikali yetu katika mabenki ya nje kwa kuruhusu hii dili kufanyika. Nadhani haikuwa kwa bure tu na siyo malipo ni madokta wao kuja.

RA at work of course...wanna bet?

YESSSS. Lazima waiteme ile milungula yoooote! Wahuni hawa!
 
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.

wanapewa hayo madini na chama chako ccm, msituunganishe ya kuwa tumeridhia hilo. Ndiyo maana tunaanza na kuiadhibu ccm.
 
Tanzania ni inchi isiyo fungamana na upande wowote! hawa wamerekani wanatakiwa walijue hilo... ukoloni mambo leo ulipitwa na wakati!

Wakati mnapitisha bakuli lenu kuomba omba kama mbwa koko, hamkujua kuwa mnauza uhuru na heshima yenu? Eti isiyofungamana na upande wowote my ass!! 70% ya budget inategemea msaada?? Sasa akalambe miguu wapi sijui, Iran or US?
 
Na sasa hivi yule waziri wetu..Bernardo atakuja na statement huku mapovu yakimtoka mdomoni kuwashambulia Wamarekani. Yetu macho. Ni tamthilia mwanana inayoendelea chini ya awamu ya dogo.

Hili hawezi, unajua uzuri wa hili sasa limebana kote kote!! utaona
 
Mtumpole

Friday, June 29, 2012
Berman Calls on Tanzanian President to Cancel Reflagging of Iranian Vessels

Berman Writes Tanzanian President, , Warns U.S. Assistance in Jeopardy

Washington, DC – Congressman Howard L. Berman, the top Democrat on the House Foreign Affairs Committee, today called on the Tanzanian President to cancel the reflagging of Iranian vessels following reports that the National Iranian Tanker Company (NITC) vessels are being reflagged under his nation's flag.

Berman added that US assistance to Tanzania would be in jeopardy if these actions persisted.

In the letter, Rep. Berman writes, "It is profoundly disappointing to me to learn that your government has acted in contravention of the broad international coalition that is working together to use peaceful means, including economic sanctions, to change the threatening behavior of the Iranian regime. The decision to accept the re-flagging of NITC vessels casts a shadow over Tanzania's international reputation."

Rep. Berman has been a champion of Iran sanctions in Congress, building broad coalitions in support of ending Iran's nuclear weapons program. In January, Rep. Berman, joined by Senator Menendez (D-New Jersey) introduced stiffer sancrions aimed at the NITC and the National Iranian Oil Company (NIOC) if they are determined to be affiliated with Iran's Islamic Revolutionary Guard Corps. The sanctions would penalize foreign financial institutions that facilitate financial transactions involving NITC or NIOC.

The letter to President Kikwete follows:

Dear President Kikwete,

I am writing to express my deep dismay that Tanzania has permitted the National Iranian Tanker Company (NITC), to reflag at least 6 and as many as 10 of its vessels under the Tanzanian ship registry, allowing them to remain under NITC ownership and continuing to transport Iran's crude oil exports. This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research programs and its support for international terrorism.

It is profoundly disappointing to me to learn that your government has acted in contravention of the broad international coalition that is working together to use peaceful means, including economic sanctions, to change the threatening behavior of the Iranian regime. The decision to accept the re-flagging of NITC vessels casts a shadow over Tanzania's international reputation.

I respectfully request that Tanzania cancel the re-flagging of the NITC vessels. Given the close and cooperative relationship that our two governments now enjoy, it would be unfortunate if this action were permitted to stand.

It would be preferable that Tanzania take this action of its own accord. However, your government should take note of President Obama's Executive Order 13608, signed May 1, 2012, which provides for the imposition of sanctions on any entity worldwide, including foreign governments, that assists Iran in evading U.S. sanctions. In my view, reflagging Iranian oil tankers falls within the scope of sanctionable activity under that Executive Order. In addition, if Tanzania were to allow Iranian vessels to remain under Tanzanian registry, we in the Congress would have no choice but to consider whether to continue the range of bi-lateral U.S. programs with Tanzania.

Sincerely,

Howard Berman
Ranking Democrat, House Foreign Affairs Committee

Source: House Foreign Affairs Committee Democrats- Ranking Member Howard Berman


logo_reuters_media_africa.gif
Tanzania must stop re-flagging Iran tankers: US lawmaker | Top News | Reuters

 
Hii kama umeitengeneza mwenyewe! Inamapungufu mengi mojawapo haina SIGNATURE ya huyo HOWARD BERMAN
Unapinga content au authentic. Fyi content genuine and JK is in a big mess he miss judged this one. As usual RA is in it again. Is sad situation
 
Hivi mtaendelea kuchaguliwa marafiki mpaka lini?

Tanzania inaangalia self interest kama nchi yoyote ile duniani

Hebu niambieni serikali ya Tanzania imevunja sheria zipi za kimataifa ku deal na Iran?

Nipeni namba ya huo mkataba wa kimataifa unaokataza nchi zingine zisideal na Iran
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom