Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
Baada ya kuonywa kutokana na kusajili meli za Iran, uenda Tanzania sasa kuwekewa rasmi vikwazo vizito vya kiuchumi.
Chanzo chetu ndani ya Ubalozi wetu Marekani imetudokezea kwamba, Wamarekani wamekasirishwa na kitendo cha serikali ya Tanzania kuendelea kuisaidia Iran kukwepa shinikizo za kiuchumi za kimataifa, kwa kusajili meli zake

MY:Take. Sijui tutakwenda wapi ikiwa tutawekewa kikwazo chochote cha kiuchumi. The CITIZEN nayo juzi imeripoti

Bonyeza: Barua ZA Onyo La Kwanza View attachment 104799

kumbe wewe Pro white hair basi sina haja ya kuendelea
 
Ndio tabu ya Rais tuliye naye sasa sifa zake za kijinga zitailetea hii nchi matatizo makubwa....Something needs to be done to save our Country from a possible nightmare....
 
Nawaona Kagame na Banda waleee, wanajiandaa kutupiga chini ya ufadhili wa "Bush". Lakini Amirijeshi wetu ashasema tuko imara sana, na tuendelee "kulala".

Na hili nalo yunaliangalia kichama vilevile???
Sisi wengine si watumwa wa vyama vya siasa. Chama kimeingiaje hapa, mbona quote yangu iko wazi kabisa, sijataja vyama wala siasa, bali ni mgongano wa kimaslahi kama hii habari ni ya kweli. Maana ni wazi kuwa baadhi ya majirani zetu hawatuangalii kwa jicho la heri na Marekani always anajulikana ni ndumilakuwili, ukiingia kwenye kuharibu maslahi au misimamo yake unakuwa mbaya, na ubaya wake huwa hashindwi kutumia wabaya wako kupandikiza chuki na hatimaye mapigano huku yeye akitoa sapoti ya chinichini. Hiyo ndio maana ya comment yangu unayoiona hapo. Hakuna chama hapo.
 
Ipo siku Tanzania itawekewa vikwazo vya kiuchumi na Marekani kwasababu inapinga Ushoga! hicho ndicho unataka kutuaminisha kua imefika wakati US akisema huyu awe rafiki yako huyu asiwe bado watu wenye fikra finyu " narrow minded like a Goat" km hawa watakubali! Lazima ifike wakati waTanzania mfunguke kimawazo na kiakili pia lazima mjue kila nchi ina maslahi yake ambayo imeweka RED LINES and should never be closed...km TZ inafanya bizness halali US kwa chuki zake hawez kuvuka Red lines za TZ
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom