Huyu ni dikteta hana jipyaRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na Bi Victoria Nuland Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia siasaM
azungumzo
zi hao yamefanyika leo Ikulu ya Mayogoni
View attachment 1879871
View attachment 1879873
View attachment 1879874
LOOooo!Naona hii nchi Sasa inakabiziwa KWA Wamarekani,Nafikiri wamepata koloni lao Rasmi,Ombi letu kwenu ni bebeni hili Colon bora mtawale nyinyi kuliko kuendelea kuwa ccm.
Dikteta sawa lkn anayependwa na mahawala zenu wazungu hali iliyopelekea wawapuuze hhhhHuyu ni dikteta hana jipya
Miss utalii! 🤣🤣🤣Huyu bibi kwa kupenda kuzurura hajambo!
Leo yuko dar, kesho utashtukia yuko malawi!
Ni mwendo wa kupiga misele na kupokea mabeberu!
Ni kweli itakuwa hivyo..Nadhani US imekuja ili kupata huwakika na mambo yanayo endelea hapa nchini.