Huyu atakuwa bado anaishi kwa shemeji. Fence ya umeme ataweza kuweka kila mtu?Alarm, fence za umeme na mlinzi au mbwa
Kwa nchi hii hiyo ni LazimaHii akili ya kuweka magrill kwenye milango na madirisha tumeipatia wapi? Nyumba nyingi zimejengwa vizuri lakini ukikaa humo ni kama jela.
Ajali ya moto ikitokea ni ngumu sana kupona?
Mbona nchi nyingi hawaweki magrill je hawahofii usalama wa mali zao?
Miaka ya 2000 watu walikuwa wanachonga grills kwenye taa za nje na taa za magari lakini mwisho wameona ni kitu cha kijinga, kwanini kwenye nyumba hawabadiliki?
Nyumba ni ya ghorofa floor ya tatu kuna grill la nini?
Nyumba ina fence ya ukuta na umeme grills za nini?
Wabongo ni wezi sana mkuuNiweke grills kwani mimi mfungwa?
Unatizama movie au!?
😀😀Sasa polis kwani hawaibiwIna maana Tanzania wizi ni mkubwa kiasi hiki mpaka nyumba zote ziwe na magrill mpaka za kota za polisi?
Hata mimi huwa sielewei kabisa. Nilipobomoa nyumba yangu ya kijijini niliyojenga zamani na kujenga ya kisasa, nikashangaa kuwa katika bajeti ya ujenzi kulikuwa na Tsh millioni 2.8 kwa ajili ya magrili ikiwa ni pamoja na vile vidirisha vidogo vya chooni ambako mtu hawezi kupenya navyo viiliwekewa magrill; nikauliza ya nini wakasema ndio ujenzi wa kisasa. Kwa hiyo nyumba yangu ya kijijini nayo ina eti magrili wakati hutegemei kabisa wizi utokano na kubomoa madirisha huko vijijini. lakini bado wajenzi wanasema ndio ujenzi wa kisasa.Hii akili ya kuweka magrill kwenye milango na madirisha tumeipatia wapi? Nyumba nyingi zimejengwa vizuri lakini ukikaa humo ni kama jela.
Ajali ya moto ikitokea ni ngumu sana kupona?
Mbona nchi nyingi hawaweki magrill je hawahofii usalama wa mali zao?
Miaka ya 2000 watu walikuwa wanachonga grills kwenye taa za nje na taa za magari lakini mwisho wameona ni kitu cha kijinga, kwanini kwenye nyumba hawabadiliki?
Nyumba ni ya ghorofa floor ya tatu kuna grill la nini?
Nyumba ina fence ya ukuta na umeme grills za nini?
Aibiwe nini anakaa kwa dada huyo.Ukiibiwa utajua
Njoo tandika afu usiweke hizo mambo naamin wiki tu unahamaNiweke grills kwani mimi mfungwa?