Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,065
- 27,480
Yan alarm inawafanya nini hao wezi? Fence ya umeme wakishaivuka ndio wakutane na alarm? Mlinzi nae binadamu anaweza kuwa ndio mwizi wa kwanza.Alarm, fence za umeme na mlinzi au mbwa
Tukubali tukatae njia ya kwanza ya usalama ni hiyo ya grill then ndio zinafuata hizo nyingine