Tanzania na magrill milangoni na madirishani

Hii akili ya kuweka magrill kwenye milango na madirisha tumeipatia wapi? Nyumba nyingi zimejengwa vizuri lakini ukikaa humo ni kama jela.
Ajali ya moto ikitokea ni ngumu sana kupona?

Mbona nchi nyingi hawaweki magrill je hawahofii usalama wa mali zao?
Miaka ya 2000 watu walikuwa wanachonga grills kwenye taa za nje na taa za magari lakini mwisho wameona ni kitu cha kijinga, kwanini kwenye nyumba hawabadiliki?

Nyumba ni ya ghorofa floor ya tatu kuna grill la nini?

Nyumba ina fence ya ukuta na umeme grills za nini?
Una nyumba mkuu labda tuanzie hapo kwanza
 
Acha malalamiko. Tafuta hela jijengee ka-home prison kako.
Nchi yenyewe unaweza ukakuta security level yake ni C
 
Umenikumbusha zamani jirani yetu waliunguliwa na nyumba yao na kuua watu wanne, mashuhuda wanasema waliwahi kufika kuokoa lkn tatizo ilikuwa hayo magrill ilishindikana kuwaokoa wahanga kwa wakati.

Hapo ilikuwa tumetoka kuongeza ukuta home na grills za dirisha kwa sababu vibaka walikuwa hawaishi kutuibia, ilibidi bimkubwa aulize sasa tufanyaje tukiweka grill nyumba zikiungua hatuna pa kutoka tusipoweka grills tunaibiwa
Muhimu ndani ya nyumba yenye magrill mengi ama machache inatakiwa ndani isikosekane nyundo walau 3 zile nyundo kubwa,hata ikitokea ndani janga la moto nyundo itakusaidia kujiokoa
 
Niweke grills kwani mimi mfungwa?
Circumstances ndio zinapelekea watu kufanya hivyo sio wanapenda.

Nakumbuka tulipokua wadogo mzee alikua anasema hivyo hivyo, siweki fensi wala geti kwani sisi wafungwa.

Ila mazingira yalilazimisha kuwekwa geti na uzio.
 
Hii akili ya kuweka magrill kwenye milango na madirisha tumeipatia wapi? Nyumba nyingi zimejengwa vizuri lakini ukikaa humo ni kama jela.
Ajali ya moto ikitokea ni ngumu sana kupona?

Mbona nchi nyingi hawaweki magrill je hawahofii usalama wa mali zao?
Miaka ya 2000 watu walikuwa wanachonga grills kwenye taa za nje na taa za magari lakini mwisho wameona ni kitu cha kijinga, kwanini kwenye nyumba hawabadiliki?

Nyumba ni ya ghorofa floor ya tatu kuna grill la nini?

Nyumba ina fence ya ukuta na umeme grills za nini?
Sababu ni kuwa, kila mtanzania ni mwizi, fisadi, kila mtu anajilinda.
 
Huu ufokoaji ni wa ki Nairobi bongo hamna mtu anaweza fanya kitu cha namna hio mbele ya kadamnasi. Watu wako busy sana na maisha ya wenzao wataingilia kati tu. Ila Nairobi unapigwa mali zako na watu wanaona wala hawana habari.
 
Back
Top Bottom