Hii akili ya kuweka magrill kwenye milango na madirisha tumeipatia wapi? Nyumba nyingi zimejengwa vizuri lakini ukikaa humo ni kama jela.
Ajali ya moto ikitokea ni ngumu sana kupona?
Mbona nchi nyingi hawaweki magrill je hawahofii usalama wa mali zao?
Miaka ya 2000 watu walikuwa wanachonga grills kwenye taa za nje na taa za magari lakini mwisho wameona ni kitu cha kijinga, kwanini kwenye nyumba hawabadiliki?
Nyumba ni ya ghorofa floor ya tatu kuna grill la nini?
Nyumba ina fence ya ukuta na umeme grills za nini?