Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,922
Watu wengi walitabiri au kuoneshwa maono na Mama mwenyewe alitabiriwa na watu kibao tuu toka bunge la katiba.Hata mimi mwaka uliopita niliandika kwenye jukwaa la EAC kwamba nimeona Rais hata maliza miaka mitano japo sikusisitiza iala niliwaambia watu wachache kwa kuwa niliogopa.
Kiufupi niliwahi kuota vitu vingi tuu sio hilo tuu but nimegundua watu wengi walitabiri na imetokea kweli,R.I.P mr.President
Kiufupi niliwahi kuota vitu vingi tuu sio hilo tuu but nimegundua watu wengi walitabiri na imetokea kweli,R.I.P mr.President