Nje ya mada, swali,
Hivi wale wawekezaji Waarabu, WaKuwaiti sijui Saudi, walioleta hadi $$ B.o.T, wameshapata vibali vya kufungua kiwanda chao?? Fedha zao je, wamerudishiwa??

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Swali zuri
 
Kama hujui kaa kimya.drip zinatengenezwa kibao tu hapa tz.bugando,kcmc,muhimbili.panadol ndio usiseme.dawa za tz ni bora zaidi kuliko za Kenya kama hujui.tembeeni muone sio kupiga kelele kila siku.
Unampinga hadi mwendazake 😂 😆
Sasa za KCMC na Bugando ndiyo zinasambazwa na MSD katika maduka yao nchi nzima siyo??

Basi sawa kule Nanjilinjili zahanati watakuwa wameziona drip made in Tanzania by Muhimbili hospital.

Everyday is Saturday..............................:cool:
 
Hawa hata sindano tu wanaagiza nje ya nchi, ndio wataweza kutengeneza chanjo yao wenyewe, labda waruhusu miongoni kwa kampuni ambazo chanjo yao imeshaidhinishwa waweke plant yao nchini kwa ajili ya supply ya Africa.
Wanataka kuleta mambo aliyoyafanya Ramadhani Madabida kwenye ARV's
 
Back
Top Bottom