Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Usiseme hivyo FL1,tafadhali futa kauli yako ya kusema iendeshwe kijeshi ili tuipate habari yake,hivi unafikiri nchi zinazoendeshwa kwa style hiyo watu wako wako kwenye hali gani? Unafikiri utapata hata muda wa kutoa maoni kama sasa unavyotoa? hebu fikri tu utakua na muda wa kufanya kazi maana wakati mwingine itatolewa amri ya kutotembea ovyo eitha nyakati fulani je utakuwa katika hali gani?try to think twice.

Kuna wakati Bokassa alipokuwa ziarani nchini mwake enzi za uhai wake miaka ya nyuma,aliamuru watoto wa Shule moja ya Msingi watoke darasani walale chini tena barabarani na akaamuru mmoja wa kijana wake achukue gari na apite juu ya wale wanafunzi wakiwa wamelala chini barabarani,hakuna aliyesalia hapo. Hivi kwetu yakitokea hayo mtasemaje? au mtapumua?
 
Jamani eeeh, vyama vya Upinzani viungane tu.. vichaa wote wamo humo.. Kuna Seif Sharrif na Mrema hawa wana sifa zote za Ufyatu, halafu wapo Dr.Slaa, Zitto, Lipumba, hawa wamejijenga ktk umaarufu kitu gani zaidi mnakitaka.
 
Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.

Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!

Hatumhitaji Ahmedinajad. Hatumhitaji Chavez. Na zaidi ya yote, hatuhitaji Rais kama Mrema.

Tunahitaji Rais mwenye vision, commitment, integrity kama Lee wa Singapore. Tunahitaji Rais kama Castro atakaewekeza katika kuboresha hali ya maisha ya watu wake kwa kutumia alichonacho.

Hatuhitaji Rais atakayetupa vijisifa visivyo na maana bali tunahitaji rais atakayeweza kutumia mazingira yaliyokuweko kutuongoza kuelekea kwenye hali bora zaidi ya kudumu.

Hapana, hatuhitaji Rais fyatu maana tumeishapoteza muda kiasi cha kutosha.

Amandla.........
 
Tumchague, Raisi anachaguliwa na wananchi kusema tunamhitaji tunakosea kidogo. Zaidi ya hapo ili tumchague lazima agombee Raisi wa namna ambaye tunamtaka. Shime wananchi kazi kwetu!!!!
 
Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.

Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!

Harafu raia tuweje?
 
Mwanakijiji,
Rais fyatu akuongoze wewe na ukoo wako siyo sisi wa Tanzania...tunahitaji kichwa kilichotulia makini strong etc fyatu mchague awe babako..tuondolee balaa ala!
 
Kichwa kilichotulia kuwa Raisi? Tena wa Tanzania , haiwezekani leo, kesho milele na milele.
 
MMKJ,
Swali gumu!?
Kupata mantra kama hizo kunahitajika watu fyatu au!?
Tutaona 2015!
 
Mwanakijiji,
Rais fyatu akuongoze wewe na ukoo wako siyo sisi wa Tanzania...tunahitaji kichwa kilichotulia makini strong etc fyatu mchague awe babako..tuondolee balaa ala!

Kama huwezi kuchangia bila kutukana heri usichangie. Humdhalilishi mtoa hoja bali unajidhalilisha mwenyewe.

Hivi mmetokea wapi nyie watu?

Amandla........
 
Hatumhitaji Ahmedinajad. Hatumhitaji Chavez. Na zaidi ya yote, hatuhitaji Rais kama Mrema.

Tunahitaji Rais mwenye vision, commitment, integrity kama Lee wa Singapore. Tunahitaji Rais kama Castro atakaewekeza katika kuboresha hali ya maisha ya watu wake kwa kutumia alichonacho.

Hatuhitaji Rais atakayetupa vijisifa visivyo na maana bali tunahitaji rais atakayeweza kutumia mazingira yaliyokuweko kutuongoza kuelekea kwenye hali bora zaidi ya kudumu.

Hapana, hatuhitaji Rais fyatu maana tumeishapoteza muda kiasi cha kutosha.

Amandla.........

Mchague Nyani Ngabu, kama umri wake utakuwa bado, basi najifagilia.
 
Did i hear Kagame? Huyu anajenga nchi ya WATUTSI pekee mkuu. I wish he would come back to his senses. Poor him!
 
Utampenyezea wapi Magufuli hadi aupate hata huo UGOMBEA tu? Angalia JK alivyohangaika hata kumpa wizara afanye kazi! Tatizo kubwa tulilonalo ni MFUMO wetu wa jinsi tunavyowapata VIONGOZI wetu. Nani ATAUFUMUA?
Kweli watu waliona mbali
 
Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.

Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!
Tunaomba maoni yako kwa sasa mkuu
 
Wakuu tuache kufikiria tawala za kijeshi.Mimi nadhani tupate raia mmoja tu mzalendo mwenye vision na uchungu wa kweli na maendeleo ya nchi hii.Hawa watu wapo isipokuwa bado hawajapewa nafasi au wanabaniwa au wanavurugwa na system isiyoitakia mema nchi.
Embu tuchukulie mfano tumpe urais Pombe Magufuli leo hii,hivi hatutaweza kusonga kweli?

Mkuu tunaomba comment yako.!???
 
Back
Top Bottom